mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Nimekuwa na maswali mengi kuhusu hii bank ya marekani ya federal reserve bank na sehemu ambapo nimeona naweza kupata solution ya baadhi ya maswali yangu ni hapa ni imani yangu kuna watu watakuwa wanajua mengi
1.Je ni nani mmiliki wa federal reserve bank?
2. Kwanini marekani hawana bank ya taifa kama ilivyo hapa kwetu mfano B.O.T?
3. Ni nani mwenye jukumu la kumchagua kiongozi wa hii bank?
4.Je kuna rais wa marekani yeyote aliyekuwa na mawazo ya kuanzisha bank ya taifa?
5.Je kuna uhusiano wowote wa vifo vya maraisi hawa na kuanzishwa kwa bank ya taifa? Kama A. Lincoln na J.F. Kennedy?
6.Je kuna uhusiano gani kati ya global economic recession ya kuanzia 2008 mpaka sasa na hii bank?
Natumain nitapata ushirikiano wa kwa wale wanaojua chochote kuhusu hii bank, kama kuna sehemu nimesea ni sahihishwe na kama kuna mtu ana maswali aongezee ili kupata uelewa mkubwa. Haya wana bodi nawasilishwa hoja