U-bodyguard kwa Rihanna unalipa!

U-bodyguard kwa Rihanna unalipa!

De Javu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2010
Posts
264
Reaction score
33
Bodyguard wa Rehana akiwa kazini, kazi na dawa naona anaweza kusamehe mshahara wake huyu, mkono ulivyoganda kwenye nanihii loh; anaomba shift yake isiishe.
rehana.jpg
 
attachment.php

nimateso tu, wewe ni kushika tu, wenzako wanapakua
 
attachment.php

nimateso tu, wewe ni kushika tu, wenzako wanapakua
Ma bodyguard wengi wanakuwa wanatembea na awa wakina dada macelebrity na huyu inaonekana hakuna tofauti.Wakiwa wamelewa ndio wao wanawapeleka chumbani au wakitaka drugs ndio wao wanaenda kuwanunulia.Na kuna kitu gani mwanamke anapenda zaidi kutoka mwanamume more than make her feel safe.
 
kama kazi yenyewe ndio hiyo, ndio maana chris breezy alimtwanga... LMFAO
 
attachment.php

nimateso tu, wewe ni kushika tu, wenzako wanapakua

safari si lazima tufike wote hata ukiishia nusu na wewe una la kuhadithia aiseee, si kama yule ambaye hakwenda kabisa.
 
Hivi ni Rehana ai Rihana??

Hivi hiyo zaburi ya 23 huwa inasema kitu gani? nakumbuka kuna daladala moja Tegeta/ Mwenge lilikuwa limeandikwa hivyo lakini konda wake alikuwa na roho mbaya siku moja tulimchapa sana tukamwambia afute na hiyo zaburi 23 maana yeye ni shetani,tulipo maliza kumpiga tukaanza kuuliza wote tukawa hatujui.
 
mbona demu anaonekana anamfeel mshikaji kiaina?haiwezekani akawa mlinzi huyu!ni kidume wa mtu!
 
Back
Top Bottom