TZS 30,000 kwa ekari moja!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Wana JF,

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kikamilifu. Naombeni mwenye kufahamu sehemu nitakayopata ardhi nzuri yenye rutuba maeneo ya mikoani kwa TZS 30,000 kwa ekari kwa ajili ya kilimo cha vitunguu. Kitu cha kuzingatia ni miundombinu ya uhakika kwa mwaka mzima.
Asanteni wanabodi,
 
Hizi ndoto za mchana bana!! Ardhi hiyo unanunua au unakodi?? Dah, labda uende kule Kibondo ndo utapata ardhi yenye miundombinu kwa bei hiyo.
 
Mkuu huko kibondo ni sehemu gani naweza kupata? Nashukuru sana kwa mchango wako.

Hizi ndoto za mchana bana!! Ardhi hiyo unanunua au unakodi?? Dah, labda uende kule Kibondo ndo utapata ardhi yenye miundombinu kwa bei hiyo.
 
Kibondo yote wamarekani wamenunua kwa bei chee baba, wanataka kulima mahindi for biofuel na chakula cha mifugo. Nenda kwao Pinda 'mutoto ya mukulima' doze doze, kule amebakisha.
 
Wana JF,

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kikamilifu. Naombeni mwenye kufahamu sehemu nitakayopata ardhi nzuri yenye rutuba maeneo ya mikoani kwa TZS 30,000 kwa ekari kwa ajili ya kilimo cha vitunguu. Kitu cha kuzingatia ni miundombinu ya uhakika kwa mwaka mzima.
Asanteni wanabodi,

Tatizo ni kwamba sio sehemu zote unaweza kulima vitunguu vizuri. Sehemu pekee ambayo inastawi vitunguu ni sehemu za Babati, Mangola na Singida. Soko la Kenya ni kubwa sana na sijui kama utapata shamba kwa bei hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom