Tz vs Us dollar. Kama Zimbabwe vile!

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Jamani wachumi twambieni wapi tunaelekea.?
Wapi wanasiasa wanaipeleka nchi?
Wapinzani nanyi mnakubali hali hii??????????
Hebu tupinge hali hii.
Yaani jana exchange rate was about 1,7..0
Today ,, ,, is 1,800!!!!!!!!!!!!!
 
Wajanja mcweke fedha bali zibadilisheni kwenye vitu, mambo si mazuri, mwenye sikio na asikie, nchi yenu kesha uzwa kwa wanao jiita wawekezaji!
 
Hii hali inatishia maisha yetu walala hoi
Yaan wiki iliyopita mitaa ya fire -Dar nilikwenda kuulizia gear box ya 2L ice, nikaambiwa ni TZS 750,000. Leo nilipoenda wakasema ni TZS 800,000! nilipo shutuka wakasema kaangalie USD ikoje! kwamba mabo yamesha badilika! Jamani kikwete umetupeleka tusipo pataka!
 
Uko sahihi kabisa, niliingia kwenye mtandao fulani mida ya saa kumi nikakuta ni 1794 kwa Usd moja!!! Nikaishia kucheka kwa huzuni peke yangu, halafu jamaa wanakula nchi, naapa hatufiki desemba ngoma itagonga 2000 kwa USD moja!!!!
 
Jamani tunasubili nini kuikataa hii hali? Taratiibu tunasogezwa kaburini na ccm,aaaaaaaaaah TUKUFWA KUNO TUKWIKETA une ngatele bha jama.
 
Kuna haja ya kuzibadili pesa zilizoko benki zisomeke kama dolla mapema otherwise tutalia.
 
Ndio maana jana kuna post moja nili comment nikasema
hii ni dalili kwamba nchini hapa THE MONETARY POLICY is unable to stimulate our economy. Na hii inasababishwa na international trade where we import more than export, uwekezaji huku hali ya absolute poverty ni kubwa means wanaoishi under 1US$ ni wengi
 
Jamani tunasubili nini kuikataa hii hali? Taratiibu tunasogezwa kaburini na ccm,aaaaaaaaaah TUKUFWA KUNO TUKWIKETA une ngatele bha jama.
Tulikuwa na nafasi hiyo Oktoba tu mwaka jana, tukafanya maamuzi na haya ndiyo matokeo yake
 
Wat ar u thinkin leo hi cement mfuko mmoja nisawa na mbao 1 by 10 moja wher ar we headn?
 
Ngoja ifike elfu kumi ndio nianze kuziuza nilizo changa. Sasaivi na nunua tuu
 
Back
Top Bottom