Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 86
MALAWI Wameshashirikisha wanasheria wao sana na bila shaka wanayo makundi ya wanasheria wanaoshughulikia suala hili la ziwa nyasa. simaanishi wanasheria wa nje, la, wanashirikisha maprof mbalimbali kutoa sababu za kisheria, sio siasa za maneno ni kwanini wao ndo wanamiliki ziwa na siyo Tanzania. SWALI: Tanzania imejiandaa vipi na kukabiliana na suala la malawi? pale kwa Attorney General, ameandaa wanasheria wake wepi au amewapa kazi wepi ambao kazi yao ni kuandika maopinion ya kufa mtu na kufanya research na kuandaa sababu ambazo Tanzania inaweza kubase juu ya ziwa nyasa?au tumelala tu wakati malawi miaka yote wako macho na ziwa lao?
ajabu ni kwamba, Tanzania mara nyingi tumelala kuhusu ziwa hili ndio maana malawi hadi leo hawaamini kama ni letu pia. wao walikuwa wanapiga kampeni ya chini kwa chini, wakifundisha watoto wao, na kupenyeza kwenye ramani za dunia, google na kila sehemu wakionyesha mpaka, na sisi tanzania tulichukulia kawaida tu wala hatukurespond chochote, sasa tayari wameshauambia umma wa dunia kuwa ziwa ni lao na dunia inaamini hivyo, kilichobaki ni kwetu sasa kuleta hoja za kisheria kuthibitisha kuwa tuna haki kwenye ziwa hili...tumekumbuka shule wakati kumekucha na mbu wameng'ata hadi wameshiba. lakini bado tunayo nafasi, zaidi ya kuwa tunazo sababu ya kuwa labda :
zaidi ya yote, inabidi tusikubali jurisdiction ya ICJ, tutatue hili jambo kwa wasuluhishi tu, na si mahakamani, kwasababu tukikubali tu jurisdiciton ya ICJ basi ni compulsory kukubali na hukumu watakayo toa. mambo ya muhimu yafanyike.
- suala hili halijawahi kutatuliwa, bado liko kwenye mgogoro tangu uhuru, hivyo tulikuwa tunaishi na mgogoro, kama mgogoro ulikuwa haujatatuliwa tangu uhuru, malawi leo hawawezi kusema sisi hatuna kitu kwasababu mgogoro haujawahi kutatuliwa.
- watu wa tz wamezaliwa mle na tz imekuwa ikiendesha shughuli zake mle, ndo maana tunazo hadi bandari na tumekuwa tukisafirisha vitu kwa meli zetu mle...kama tumejenga bandari za mbambabay, tumesafirisha bidhaa miaka yote hii, tumevua samaki, inakuwaje leo malawi waseme sio letu, mtu anaweza kujenga bandari, kuvua na kufanya navigation kwenye ziwa ambalo si lake?
- mikataba ya ukoloni ilikuwa ya ulaghai, watz hatuikubali kwasababu ilikuwa ya kilaghai.
- Serikali ya Tz iunde jopo maalumu pale kwa Attorney General kushughulikia masuala ya kimataifa tu, na wapewe kazi ya kufanya research na kuandaa points of law kutetea tz katika jambo hili.
- tutumie wasomi wetu vyuoni,..pale udsm kuna wanashera kama kina prof. Peter Maina etc, watumiwe vilivyo katika suala hili.
- kiujumla, tusijelala tena, kwasababu wamalawi hawalali hata siku moja katika jambo hili, tuwe macho kijeshi na kisheria kutetea ziwa hili. Asanteni, Mungu ibariki Tanzania. nawakilisha.
Kwa mtaji huu basi hatukustahili hata kuratify let alone uanachama wa hiyo mahakama na hata ada yetu tunapoteza pesa tuHakuna kitu kinaitwa justice kwenye international relations/politics, kilichopo ni interests tu. Mahakama ya kimataifa ingekuwa ina manufaa mgogoro wa Israel na Palestina ungekuwa umeshakwisha.
sasa rushwa ipo wapi? naona walifanya la maana kuongea hivyo, kwasabatu tukienda tu icj basi tumepoteza ziwa amini usiamini. kama kweli membe alisema hivyo, basi abaki na msimamo huo. pia, hatuwezi kubaki na mgogoro bila kutatuliwa, na kama icj hatutaki itatue mgogoro huu, basi njia nyingine ni usuluhisi, awepo middle person asiye na maslahi ya upande wowote halafu atupatanishe ili tusiingie vitani kwasababu sote bado tuna mutual interest kama nchi. unafikiri zaidi ya usuluhisshi na icj, ni vipi mgogoro huu utatatuliwa?...tumeliweka bom hili miaka mingi tangu uhuru, ni nafasi yetu sasa jipu limewiva, tusikubali mambo yapotelee hewani bila kuwa na demarcation au suluhisho la kudumu once and for all. na tz tusikubali kabisa hata cm moa ya ziwa upande wetu kuchukuliwa. ila no icj.Kwa mtaji huu basi hatukustahili hata kuratify let alone uanachama wa hiyo mahakama na hata ada yetu tunapoteza pesa tu
Watanzania mmezoea kupatanishwa ndo maana rushwa imekithiri.
Unaambiwa Membe alisema "there has got to be other ways to settle this dispute without having to take it to ICJ"
Rushwa mtupu hapo
amini usiamini, unawezaona suala hili tayari limeshawekwa kapuni, wakati upande mwingine wa malawi wanapambana na kujiandaa kwa kutumia wanasheria mbalimbali waliobobea maprof etc...tz tunasubiri kumekucha ndo tutaamka.Tanzania nafikiri hatuna watetezi waliobobea kuhusu masuala yenye tija kwa nchi. Nchi yetu ilishindwa kuuza pembe zake za ndovu baada ya kushindwa kujenga hoja zenye afya kule kwenye mkutano wa Cites! Mijamaa ya Kenya ilituwekea ngumu na kupiga kampeni kali sana ili TZ isiruhusiwe kuuza pembe zake na tukashindwa. Kwa misingi hiyo, sitashangaa tukishindwa kwenye masuala ya mpaka katika ziwa Nyasa kama hali yenyewe ndiyo hiyo!
hahaha, acha utani bwana...Tundu lisu amesoma sheria za human rights, sio sheria za kimataifa kwenye masters yake....(however ni mtani wangu kikabila)...hata hivyo nafikiri kinachotakiwa ni jopo la wanasheria ambao sio wababaishaji wanaoongozwa na maprofessa wa sheria za kimataifa kama kina prof maina etc...pale kwa AG pia najua wapo baadhi ya wanasheria wazuri tu kwa mambo haya ya kimataifa.Wampeleke Tundu Lissu!
sasa rushwa ipo wapi? Naona walifanya la maana kuongea hivyo, kwasabatu tukienda tu icj basi tumepoteza ziwa amini usiamini. Kama kweli membe alisema hivyo, basi abaki na msimamo huo. Pia, hatuwezi kubaki na mgogoro bila kutatuliwa, na kama icj hatutaki itatue mgogoro huu, basi njia nyingine ni usuluhisi, awepo middle person asiye na maslahi ya upande wowote halafu atupatanishe ili tusiingie vitani kwasababu sote bado tuna mutual interest kama nchi. Unafikiri zaidi ya usuluhisshi na icj, ni vipi mgogoro huu utatatuliwa?...tumeliweka bom hili miaka mingi tangu uhuru, ni nafasi yetu sasa jipu limewiva, tusikubali mambo yapotelee hewani bila kuwa na demarcation au suluhisho la kudumu once and for all. Na tz tusikubali kabisa hata cm moa ya ziwa upande wetu kuchukuliwa. Ila no icj.
wat do u mean? fafanua...sir, you have two accounts or it's me, i'm seeing double?
Tanzania nafikiri hatuna watetezi waliobobea kuhusu masuala yenye tija kwa nchi. Nchi yetu ilishindwa kuuza pembe zake za ndovu baada ya kushindwa kujenga hoja zenye afya kule kwenye mkutano wa Cites! Mijamaa ya Kenya ilituwekea ngumu na kupiga kampeni kali sana ili TZ isiruhusiwe kuuza pembe zake na tukashindwa. Kwa misingi hiyo, sitashangaa tukishindwa kwenye masuala ya mpaka katika ziwa Nyasa kama hali yenyewe ndiyo hiyo!
wat do u mean? fafanua...
jina la zemarcoopolo liko wapi kwenye thread hii, mbona silioni, ajabu aisee..zemacopolo amesemaje? na mimi nimesemaje?...interesting..ZeMarcopolo and UbungoUbongo have apparently posted same comment. Could it by any chance be that these two are siamese twins? Lol!
jina la zemarcoopolo liko wapi kwenye thread hii, mbona silioni, ajabu aisee..zemacopolo amesemaje? na mimi nimesemaje?...interesting..