Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???
Siku hizi kila kitu ni siasa tuu.
Hadi jeshi nalo limekuwa la kisiasa.
juzi nilipokuwa namsikiliza mh. Rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???
ni uozo wa hali ya juu, sijui rais wetu ni mwanajeshi na amiri jeshi wa namna gani asiyejua nini cha kumwaga na nini cha kutunza.
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???
That's the best choice , NEC declared to Tanzanians in October 2010.Yaani yule sijui alipita jeshi gani/usalama wa taifa naona hata training hakupewa,siri za baraza la usalama ye anaweka kwa media.......ni kusema tu yote anayofikiri....anatafuta sympathy kwa kutoa siri za nchi....naomba Mungu nchi hii isipate Rais dhaifu kama huyu......
That's the best choice , NEC declared to Tanzanians in October 2010.
Kambi kubwa hivyo iweje hakukuwa na wanajeshi mh1 ina maana huwa hailindwi usiku..Hii ni hatari kweli!!! Kwaani zimechukuliwa na nani?? Kuna mtu aliyepata ujasiri wa kuingia kwenye milipuko na kuchukua makombora huku mengine yanalipuka? Lakini nilisikia Mhe. 30 alisema kuwa askari wote hawakuwepo hapo kambini, yawezekana kweli silaha zilichukuliwa ki-aina!!