One thing with hackers, don`t talk too much, tena this publicly... Be silent, napenda offsec (watengenezaji wa backtrack na kali linux) wanavyosema... The Quieter you become, the more you are able to hear!
"The quieter you become, the more you are able to hear..." ―Ram Dass
?><?php '" $datahacked=mysqli_query('sp_tables',this);
While($haked=mysqli_ferchy_array(datahacked))
{
echo $hacked;
}
?>
Inaweza kukuonesha databse inzima ya baadhi ya sites
.ni mda umefika sasa jf tech tuanze kuchangia mada za. jinsi ya kuhack. mda wa. kujifunza kudownload na kuplay movies umeisha its time to move on, nkiona kuna wito wa watu ntaangusha site 3 hapa tz just for a start
Duuuuhh kweli We SmartBrainHahaaa no time to trash lets go......... but kumbuken "hacking is ilegal"
From experience a lot of tz sites r very weak kwa security measures walizoeka against external intruders.
From experience a lot of tz sites r very weak kwa security measures walizoeka against external intruders.
Sasa, mkuu just because iko vulnerable to injections ndo umei-hack?nmepost jana usiku wa manane post ya site nliyohack kabaaaaang ishafungwa ndo nini sasa
ni mda umefika sasa jf tech tuanze kuchangia mada za. jinsi ya kuhack. mda wa. kujifunza kudownload na kuplay movies umeisha its time to move on, nkiona kuna wito wa watu ntaangusha site 3 hapa tz just for a start
Mkuu mbona unaelekezea Bomu kwetu?:twitch:Sijaelewa malengo yako hasa, kwa nini unahimiza watu kuanza hacking? kama shida yako ni kujulikana wewe fanya mambo ya msingi tu kaka utapoteza muda wako kwa mambo yasiyo na faida kwako. Kama unataka kutuonesha how smart you are anza na JF tuone kweli uko vizuri.
Mkuu mbona unaelekezea Bomu kwetu?:twitch:
Hahahaha, najua atazeeka akijaribu!
nmepost jana usiku wa manane post ya site nliyohack kabaaaaang ishafungwa ndo nini sasa