TZ MEDIAs ZINA UGOMVI NA CDM

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Wadau najiuliza ni kwanini mpk leo asbh hakuna tv yeyote imeonyesha wala kuripot hbr ya cdm-tabora?tbc huwa wanatoaga hbr via internet bt kwa hili hawajafanya wako bize kuonyesha wanaovua magamba wakizunguka na kuzidisha chuki
 
Bruker uko upande gani au unasoma magazeti ya nchi gani ? Magazeti karibu yote yana habari hiyo kasoro majarida ya ccm
 
tusubili leo coz jana mkutano uliisha jioni sana.nafikiri ni mapema kulaumu sababu tz ya sasa haitofautiani na ya 1961.
 
Wadau najiuliza ni kwanini mpk leo asbh hakuna tv yeyote imeonyesha wala kuripot hbr ya cdm-tabora?tbc huwa wanatoaga hbr via internet bt kwa hili hawajafanya wako bize kuonyesha wanaovua magamba wakizunguka na kuzidisha chuki

Wameona kulikuwa hakuna cha kuripoti ndio maana, kwani wanayarudia yale yale hakuna jipya
 
Weee! Cha kuripoti kipo ila uccm, kwani huo mkutano wa kuwapokea viongozi wa ccm c ulifanyika jana?mbona ulirushwa na tv's station! Hakuna ki2 woote lao moja....
 
Wameona kulikuwa hakuna cha kuripoti ndio maana, kwani wanayarudia yale yale hakuna jipya

  1. John Kato mwajiriwa Caspian (KAGODA).
  2. Bharati Goda ni mwajiriwa caspian (KAGODA).
  3. John Samweli Malecela –EPA
  4. Philip Mangula – EPA
  5. John Magufuli – nyumba za Serikali.
hapo kwenye red sijaelewa
 
Kwa jana ingekuwa ngumu. Mkutano umeisha kwa kuchelewa. Si unajua habar mpaki ipitie kwa editor alafu ndio inarushwa
 
Wadau najiuliza ni kwanini mpk leo asbh hakuna tv yeyote imeonyesha wala kuripot hbr ya cdm-tabora?tbc huwa wanatoaga hbr via internet bt kwa hili hawajafanya wako bize kuonyesha wanaovua magamba wakizunguka na kuzidisha chuki

Hizi ndio sababu zilifanya kuwepo kwa mjadala kuwa CDM wamiliki TV station yao wenyewe, maana hizi za binafsi ni manyanyaso tu, si ajabu hiyo habari isirushwe kabisa
 
tusubili leo coz jana mkutano uliisha jioni sana.nafikiri ni mapema kulaumu sababu tz ya sasa haitofautiani na ya 1961.

ni kweli kamanda TZ hii hata ya mkoloni ina afadhali kitu hapo tabora cha KM mi sita naa hawakioneshi hakuna medi hapa katika swala la TV
 
Hizi ndio sababu zilifanya kuwepo kwa mjadala kuwa CDM wamiliki TV station yao wenyewe, maana hizi za binafsi ni manyanyaso tu, si ajabu hiyo habari isirushwe kabisa

Hilo la Chadema kuanzisha TV halitawezekana kwa mazingira ya Tanzania.

Hawataruhusiwa kufanya hivyo kwa kigezo kuwa ni marufuku kuwepo kwa vyombo vya utangazaji vinavyofanya shughuli hiyo kwa maslahi binafsi ya kisiasa!!
 
Lakini watu wangu tusubirini mpaka jioni tuone kama wataonyesha au lah!
Alafu nimesikia ccm wanamkutano leo huko huko Tabora tusubirini tuone kama watarusha ya ccm leo.
 
Back
Top Bottom