Na Mafwele ndiyo kamanda mkuu(mwenye kauli ya mwisho) wa majeshi yote TZ, ndiye anayeripoti kwa Abdul direct.Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
Abdul ndio nani jeshiniNa Mafwele ndiyo kamanda mkuu(mwenye kauli ya mwisho) wa majeshi yote TZ, ndiye anayeripoti kwa Abdul direct.
AmirAbdul ndio nani jeshini
Hana cheo chochote(officially) lakini anawaendesha kama gari bovu, wanamtii, wanamsikiliza na anawapangia nini wafanye na nini wasifanye na seniors wote wako kwenye persnol payroll yake.Abdul ndio nani jeshini
Amiri jeshi kivuli.Abdul ndio nani jeshini
Pengine ndie mmilikiAbdul ndio nani jeshini
Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
Wanakamata hawa migambo wa JWTZ na kuwatetemesha.Kweli polis si ndo wanakamata kila mtu ndani ya nchi hii
Kuna wale walikuwa wanajiona wao ndo jeshi wengine ni Taasisi kwasasa watakuwa wanaona haya hata kuvaa vijora vyaoKwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
Vijora vya mabakamabaka.Kuna wale walikuwa wanajiona wao ndo jeshi wengine ni Taasisi kwasasa watakuwa wanaona haya hata kuvaa vijora vyao
Hapo anatumwa akanunue sigara pakti moja na kiberiti.
Constable endelea tu kujifariji.Mnawakubali Polisi sasa mdogo mdogo tutaelewana baadaye mtasema Rais ni Samia tu