Tz flyover

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
KAMA HUJAFIKA SHIKILANGO ROAD TAFADHALI WAHI UJIONEA FLYOVER NA TRAIN MPYA HAPA NAKUONJESHA KWA UCHACHE TU:mod::mod:
 

Attachments

  • _52657511_cropped_shanghai-getty-hi01[1].jpg
    148.7 KB · Views: 570
Tiombe Mungu ifikie hapo!
Na hii ni mojawapo ya ahadi za ******!
 

Attachments

  • _52657511_cropped_shanghai-getty-hi01[1].jpg
    2.1 KB · Views: 461
ahadi za kula muhogo ikulu kwa mshahara wa MILIONI SABA? 7.5 millions? DR. SLAA
 
ni ndoto ni ndotoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
wamevunja nyumba ngapi za wadau sinza? mbona sijasikia kelele za fidia na injunctions zikiwekwa mahakamani mpaka fedha za mradi zinahamishiwa sehemu nyingine??!!!!!! funny country, full of fantasy and silly imaginations!
 
Sioni chochote cha kufurahisha katika hiyo picha; chaos!
 
kama wenzetu wa kenya wameweza kuanza kutengeneza flyovers, sisi kwa nini tushindwe? Kitu cha kwanza cc watz tunachotakiwa kukifanya ni kuwang'oa wafisadi woote kwanza serikali, hata kama ni kwa style ya MISRI au MISRATA! then from there I assure U, tutafika.
 
ni ndoto ni ndotoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
...Tuendelee kuota tu hizo ndoto za mchana lakini ni wazi hilo halitawezekana katika inji hii may be baada ya generations 100 zijazo.....co mambo madogo hayo!
 
Watanganyika acheni kukosa imani hivyo.

Mkulu ameshasema kwamba atajenga hiyo flyover hapo Ubungo kabla hajamaliza muda wake (2015), mpeni muda bado anao wa kutosha kutimiza ahadi hizi halafu mbaki midomo wazi.

lol
Naotaaaaaaaaaaaaaaaa
 
reli ya chini tu imetushinda, tutataweza hizi za juu na umeme wa nyukilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…