TZ economy to surpass Kenya, forecast shows. Hongera Kikwete! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TZ economy to surpass Kenya, forecast shows. Hongera Kikwete!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mdondoaji, Nov 14, 2011.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  By peter Nyanje
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. Tanzania is set to overtake Kenya as East Africa's biggest economy by 2030 if the current Gross Domestic Product (GDP) growth rate remains the same, according to Standard Chartered Bank forecast.

  Currently, at GDP value of $36 billion, Kenya is the largest economy in East Africa and it ranks as sixth in Africa, according to Razia Khan, the Standard Chartered Bank regional head of research in Africa, who also projected Kenya's GDP growth rate at 6 per cent.

  At the same time, Ms Khan shows in her presentation that Tanzania is the second largest economy in the region and ninth in the continent with its GDP measuring $23 billion. With a GDP growth rate of seven per cent, Ms Khan's projections put Tanzania in the sixth largest economy in the continent and first in East Africa at $230 billion.

  By then, Kenya would have retarded to seventh position in Africa, one position behind Tanzania, with $217 billion GDP, Ms Khan's projections show.

  While in 2011, South Africa leads as the strongest economy in the continent with its GDP at $555 billion, but come 2030, with constant GDP growth rates, Nigeria, which holds second position currently, would overtake it.
  By then, Nigeria, whose current GDP is estimated at $415 billion and growth rate of 7.5 per cent would lead the continent economically with a GDP of $1,640 billion followed by South Africa with $974 billion.

  In his quick reactions, the minister for Finance and Economic Affairs told The Citizen yesterday that the projections were true, noting that the economic figures in Tanzania would be much better than projected by the bank.

  "In fact, our projections put Tanzania at a mid income economy between 2010 and 2025. Currently, Tanzania is the fifth fastest growing economy in the region. There is no way we are going to take all those years to 2030 to achieve what the bank projects. We are going to achieve it before that time," said Mr Mkulo.

  Asked how the government was going to ensure that the plans are implemented effectively, Mr Mkolo said in June this year the government baled the five years economic plan, which puts priorities on what should be done to spur the economic growth.

  "And the plan is only at its first phase of the 15-year economic plan. We would continue to ensure that we capitalise on the economic gains to make the economy even stronger... what the bank says about Tanzania's growth is true but tell them that our data is much better than what they project," the minister said.

  Commenting on the revelations, the shadow minister for Finance and Economic Affairs, Mr Zitto Kabwe, said it was possible for Tanzania to beat Kenya economically if the country focuses on three sectors, which are agriculture, mining and energy.

  "Agriculture in Tanzania forms 26 per cent of the whole economy while almost 70 per cent of the population depends on it for a living. This makes agriculture a crucial sector for poverty reduction," he said.

  However, Mr Zitto, who is the Kigoma North MP (Chadema), said that for agriculture to act as a basis for a robust economic growth in the country, it must grow at 6 per cent annually for the economic growth of 8 per cent.
  He noted that if economic growth is to be at 10 per cent, the country must ensure that agriculture grows at the rate of 8 per cent.

  "All these are achievable. It requires a strong leadership and commitment. Investment into the rural economy in rural energy, rural water supply, rural roads and rural social services like education and health would spur growth and integrate the rural economy with the rest of the economy," stressed the shadow Finance minister.

  But a leading local entrepreneur, Mr Ali Mufuruki of Infotech group, warned that double digit economic growth is not going to happen simply because people wish it. "We need to work hard, very hard and most importantly, we would require a very strong leadership," he said when responding to Mr Zitto's comments online.

  He noted that implementation of Kenya's Vision 2030, which was already underway, shows that the country might exceed their own very ambitious expectations.

  "If you go to Kenya today and see the amounts and quality of works being rolled out be it in IT (information technology) infrastructure, roads, ports, airports, industrial parks, tourism infrastructure, shopping malls, horticulture, large scale farming, commodities and securities markets, human resource, etc, you will understand that theirs is not just a story or rhetoric as is commonly the case with us. They will attain the 10 per cent GDP growth long before we up ours to 7seven," he stated adding:

  "We need to drastically up our act as a nation and we are looking up to leaders like Mr Zitto to take us to that promised land of Tanzania."

  The online comments also attracted the immediate former East Africa Community secretary general, Mr Juma Mwapachu, who noted that attaining the Standard Chartered bank's projections need committed leadership.
  He said that Tanzania needed a ‘mindset' that can embrace the Vision 2025 and implement it.

  Source: The Citizen.

  Mtazamo:

  Mwenye wivu na ajinyonge but huo ndio ukweli na economic figures zipo. Kwa kuongezea tu GDP per capital income according to World Bank/IMF inshallah tutakuwa tumeshawapita Kenya by 2015 (Hivyo pia hata GDP ya nchi huenda tukawapiku Kenya by 2015). Tunakupongeza mheshimiwa rais na tunakuombea kila la kheri kanyaga twende na gari letu. Vile tunakuomba mheshimiwa mkuu wa kaya utatue tatizo la umeme, ajira kwa vijana na ufisadi ili tupate kupiga kasi kuwa nchi ya pato la kati. Vile vile suala la EAC hatulitaki kwa sasa kwani litaharibu kila mipango iliyowekwa na serikali na kuturudisha tulikotoka mwaka 1977 (ilipovunjika EAC kwa mara ya kwanza). Tuwe kama Britain tunaungana na wenzetu kwa vitu vyenye manufaa na sie vyengine tunawaachia wenyewe.
   
 2. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kama utabiri wa marehemu sheh vile...........
   
 3. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatudanganyiki. Haiwezikani kwamba tunaipiku Kenya as if wao wamelala tu. Hiyo ni vice versa.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  naona wawekezaji wanaongezeka na SUTI zitazidi kumwaga kwa JK
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nani amekuambia Kenya wako constant but Tanzania uchumi wake unakuwa kwa kasi, unapanuka kwa kasi na vile vile foreign investors wanawekeza kwa wingi nchini kuliko Kenya. Kama hufahamu uliza ndugu sio kubeza tu.
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sijui nitakuwa hai bado hiyo 2030 nione maendeleo ya inji hii.....??
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hatuwezi ku achieve hiyo go chini ya huyu vosca da gama...! NEVER!!!
   
 8. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mimi sina tatizo kama maendeleo ya nchi yanakuja, tatizo langu ni huyo
  wa kusimamia hayo matatizo ya umeme na ufisadi ili tufikie huko kwenye
  hayo tunayoyaita maendeleo, vinginevyo tutaendelea kujifariji kwa ndoto
  za kiwendawazimu huku wenzetu wakipiga hatua...
   
 9. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua kama foreign investors wengi hapa TZ ni haohao Wakenya?
  Haya si maneno yangu bali ni takwimu za serikali yetu...
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Katika ufisadi mheshimiwa rais wetu naona speed yake inatuangusha wengi na kutuhuzunisha. Nadhani hili bila ya yeye kulifanyia kazi litakuwa doa katika utawala wake. Kuhusu umeme subiri mwaka huu ukiisha nadhani matatizo ya umeme yataisha kabisa. Vile vile nimefurahi serikali imesikia kilio chetu cha kufufua mradi wa Stieglers gorge ambao utatokomeza kabisa tatizo la umeme nchini kwa kipindi cha muda mrefu. Hivyo katika umeme I am optimistic but katika ufisadi nina shaka napo.
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nani kakuambia foreign investors ni wakenya hebu zilete hizo takwimu maana mie nina takwimu za kutoka World Bank hazisemi hivyo hebu tupatie takwimu zako. Mwekezaji mkubwa nchini ni mwingereza, akifuatiwa na Denmark na Norway, then anakuja USA, Russia na kuendelea haya hao wakenya wako wapi?
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu Mdondoaji, nashukuru kwa post nzuri. Ila wa-TZ tuache haya mambo ya kupenda kusikia habari nzuri tu!! Let's face the truth, truth shall set us free!!!

  Hapo juu kwenye red bold, wenzetu wana-progress zilizowazi, wanaandaa mazingira ya ku-facilitate growth!! Sasa sisi tutagrow vipi ndugu yangu. Angalia matatizo makubwa tuliyo nayo, umeme, ajira, rushwa, barabara haya yote ni vichocheo katika ukuaji wa uchumi. Haya ma-figure ni ya vitabuni zaidi. Juzi tu tumeanzan kushudia jinsi serikali ilivyochoka kifedha. Hali ni tete, haiwezi sasa kuendesha shughuli zake. Tumevamia benki za biashara tunakopa, tunazidi kudidimiza uchumi wetu, biashara za ndani zitakopa wapi sasa....kama serikali imeshupalia kukopa benk za ndani.

  Figure zinaonyesha mwanga, lakini will hatuna ya kufanya haya yote mkuu!!! KWa taarifa yako tunazidi kusonga ki-nyume zaidi. Tuombe uzima....
   
 13. M

  Mughwira Senior Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuachie kanisa katoliki liendeshe nchi tutafanikiwa, Kama wameweza kuzalisha MW 150 kwa katika kipindi cha miaka 13 tofauti na serikali ya CCM ambayo inazalisha MW 600 toka uhuru.
   
 14. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh hizi story za alinacha sijui zinatoka wapi ?.
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nyunyu,

  Kenya wanafanya development hizo lakini wakiwa na mategemeo ya kuifanya EAC kuwa makao makuu yake ni NAIROBI. Vile vile wakenya walikuwa wanataka Mombasa iwe bandari kubwa na vile vile kufanya Nairobi iwe financial city. Ndio sababu wakenya wamekuwa vinara kutuimbia kuharakisha EAC ili watuingize mkenge kama miaka ya 1970. Our economy is boosted by the growth in the mining sector, infrastructure and service sectors. Vile vile uchumi wetu uko diversify ijapokuwa kuna haja ya kuboresha sekta ya kilimo. Pia nchi kama Uganda na Rwanda zimeanza kuwa na wasiwasi na pressure ya Kenya na kulegalega kwa speed ya Tanzania katika EAC. Kama umesikia mwezi uliopita Rais wa Uganda alikuja kuwekeana mikataba ya kuboresha miundo mbinu ya bandari na reli na vile vile uwezekano wa kuwa oil pipeline from Mwanza hadi bandari ya Tanga (akiwageuka rafiki zake Wakenya ambao walianza kujenga Lamu Bandari mpya).

  Check your facts right mkuu uwekezaji nchini unakuwa kwa kasi kubwa sana kuliko Kenya. Tanzania ni ya pili kwa afrika mashariki baada ya Uganda kwa uwekezaji kwa mujibu wa statistics za IMF na World Bank.
   
 16. e

  emalau JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  hivi mtoto akitembea baada ya miaka mitano utajisifu? kwa rasilimali tulizonazo kama tungepata viongozi wazuri baada ya Nyerere tulitakiwa tuwe tushafika huko wanakotabiri hao watabiri!! kwa hiyo hakuna cha kujisifu.

  I would like to remind jf members that in most instances the GDP does not reflect human development, instead of using Gross Domestic Product (GDP) we should use the what David Cameron termed as General Human Wellbeing (GHW)
   
 17. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,438
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  i do agree with projection however unemployment and unequal income distribution urgently need to be managed. Otherwise vita na fujo viko jirana sana na takwimu zitabaki kuwa ndoto
   
 18. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ninavyofahamu nchi tatu wawekezaji wakuu katika Tanazania ni Uingereza, Kenya na S. Africa.
   
 19. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mdondoaji!:
  Wenzako [mfano: India, China, Korea Kusini, Brazil, Ghana, Botswana, e.t.c] walianza kujilinganisha na nchi zilizoendelea yaani Tajiri [Mfano: Marekani, Ujerumani, Japan, Canada, e.t.c] ndiyo maana hivi sasa nchi zao tayari ni Tajiri ndani ya muda mfupi sana!!!. Wewe na CCM yako mnajilinganisha na Kenya ambayo pia ni nchi maskini kama Tanzania!!!!!!!! WAKE UP AND STOP DREAMING!!

   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kama unatumia COOCKED DATA sawa! Kiukweli we are heading down the drain kama serikali haistuki na kufanya jitihada mahsusi za kuokoa uchumi wetu unaopumulia msaada wa mashine!

  Huhitaji kuwa Prof wa uchumi kuona jinsi uchumi wetu unavyofariki-bei za kila kitu zinapaa; hakuna ajira za kutosha; biashara za wananchi wa kawaida kamma mantiloe zinachukuliwa hatamu kwa serikali; hatuuzi nje bidhaa kuwiana na tunavoingiza toka nje; tunaagiza toka nje hadi toothpicks na toilet paper! Mrolongo no mrefu ila kiukweli wewe uutakaye kulinganisha VIPOFU WAWILI (wachovu Tz na Kenya) huna la maaana!
   
Loading...