TZ Daima Lazika Mgogoro CHADEMA

TZ Daima Lazika Mgogoro CHADEMA

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Gazeti la Tanzania Daima limefanikisha kuzima msuguano kati ya kambi ya Lema na Zito ambao ulitishia uhai wa CHADEMA kisiasa. Hali hii imetokana na gazeti husika kupamba kurasa za mbele habari zinazomhusu kada wa CCM, Mheshimiwa Profesa Kapuya. Kwa kweli hili gazeti lina sababu za msingi kupelekwa mbele ya dawati la kamati ya maadili ya TCRA kutokana na mwenendo wa kuandika habari za kukashifu viongozi walipewa dhamana na wananchi kwa kura nyingi. Huku ni kudhihirisha kuwa BARAZA la MAADILI la Vyombo wa Habari limeshindwa kutumia mamlaka yake kudhibiti hili gazeti. Huu ni wakati muafaka kwa taifa kutunga sheria za magazeti kwa lengo la kuadabisha waandishi kama wa Tanzania Daima ambao wameweka mbele maslahi ya CHADEMA huku maslahi ya nchi yakipewa umuhimu mdogo
 
Ni kweli kabisa uliyoyasema. Hata Global Publisher walishafanya hivyo hivyo.....

Kapuya4.jpg

From: KHAA! MHE. KAPUYA - Global Publishers
 
Kwani kumpiga picha mbunge ni kukiuka maadili ya uandishi?
 
Gazeti la Tanzania Daima limefanikisha kuzima msuguano kati ya kambi ya Lema na Zito ambao ulitishia uhai wa CHADEMA kisiasa. Hali hii imetokana na gazeti husika kupamba kurasa za mbele habari zinazomhusu kada wa CCM, Mheshimiwa Profesa Kapuya. Kwa kweli hili gazeti lina sababu za msingi kupelekwa mbele ya dawati la kamati ya maadili ya TCRA kutokana na mwenendo wa kuandika habari za kukashifu viongozi walipewa dhamana na wananchi kwa kura nyingi. Huku ni kudhihirisha kuwa BARAZA la MAADILI la Vyombo wa Habari limeshindwa kutumia mamlaka yake kudhibiti hili gazeti. Huu ni wakati muafaka kwa taifa kutunga sheria za magazeti kwa lengo la kuadabisha waandishi kama wa Tanzania Daima ambao wameweka mbele maslahi ya CHADEMA huku maslahi ya nchi yakipewa umuhimu mdogo

Shame on you. Inabidi uwe unashirikisha ubongo wako kabla hujaandika lolote, kwa hiyo kwako ya Kapuya ni Sawa?
 
na pia limezima watu kutohoji muuaji wa mjumbe wa katiba kama ccm inahusika kutokana na msimamo wa marehemu serikali 3
 
Gazeti la Tanzania Daima limefanikisha kuzima msuguano kati ya kambi ya Lema na Zito ambao ulitishia uhai wa CHADEMA kisiasa. Hali hii imetokana na gazeti husika kupamba kurasa za mbele habari zinazomhusu kada wa CCM, Mheshimiwa Profesa Kapuya. Kwa kweli hili gazeti lina sababu za msingi kupelekwa mbele ya dawati la kamati ya maadili ya TCRA kutokana na mwenendo wa kuandika habari za kukashifu viongozi walipewa dhamana na wananchi kwa kura nyingi. Huku ni kudhihirisha kuwa BARAZA la MAADILI la Vyombo wa Habari limeshindwa kutumia mamlaka yake kudhibiti hili gazeti. Huu ni wakati muafaka kwa taifa kutunga sheria za magazeti kwa lengo la kuadabisha waandishi kama wa Tanzania Daima ambao wameweka mbele maslahi ya CHADEMA huku maslahi ya nchi yakipewa umuhimu mdogo

Akili zako kama za Kapuya.
 
wanaotoa phd za heshima inamaana hawajaona kazi aliyofanya kapuya ya kubaka wanafunzi
 
Gazeti la Tanzania Daima limefanikisha kuzima msuguano kati ya kambi ya Lema na Zito ambao ulitishia uhai wa CHADEMA kisiasa. Hali hii imetokana na gazeti husika kupamba kurasa za mbele habari zinazomhusu kada wa CCM, Mheshimiwa Profesa Kapuya. Kwa kweli hili gazeti lina sababu za msingi kupelekwa mbele ya dawati la kamati ya maadili ya TCRA kutokana na mwenendo wa kuandika habari za kukashifu viongozi walipewa dhamana na wananchi kwa kura nyingi. Huku ni kudhihirisha kuwa BARAZA la MAADILI la Vyombo wa Habari limeshindwa kutumia mamlaka yake kudhibiti hili gazeti. Huu ni wakati muafaka kwa taifa kutunga sheria za magazeti kwa lengo la kuadabisha waandishi kama wa Tanzania Daima ambao wameweka mbele maslahi ya CHADEMA huku maslahi ya nchi yakipewa umuhimu mdogo

inawezekana kapuya akawa basha wako haiwezekani kukaa kwako maisha yako yote ukiwa jamvini ukatetea unyama aliofanya kapuya hata utetezi unaoufanya unaonyesha ni jisni gani ulivyozaliwa na roho ya ukatili huna tofauti na Kapuya wewe unaweza kuuua kama kapuya alivyotuma majambazi kwa watoto, kapuya aende mahakanani ndio tunachokitaka ili mtoto apate haki yake DNA itaaonyesha zee lenye ukimwi uliokomaa wa miaka zaidi ishirini kumhamishia mtoto eassy
 
Huyu anapepo la ubakaji anagalieni alivyoshupaa shingo alikuwa anafanya nini kwenye dancing flow ni shetani mkubwa huyu muuaji inaniuma nikifikiria alituma majambazi kwa malaika
Kapuya4.jpg
 
kwa maccm alichofanya kapuya ni kawaida kwani hata komba ndiyo zake,muda ukifika yatajulikana
 
vijana wa ccm mnasikitisha sana....ngoja aje abakwe.....yako apewe na HIV ndo akili itakukaa.....jinaga sana wewe...kila kitu mnafikiri siasa tu...jinga kabisa wwew
 
Back
Top Bottom