Mshahara sh ngapi? Kuna dada mmoja yuko vizuri sana na mambo hayo anatafuta kazi... Nipe figure nimek apate mchongo.Msichana mwenye uwezo wa kutype kwa spidi nzuri anaitajika vigezo vingeni, awe na elimu ya form four, ajue kutumia computer na mwaminifu . Na mtumiaji mzuri wa social media na makazi yake yawe Dodoma atapewa kipaumbele.
msichana na typistUnatafuta msichana au typist!!?