ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 May 12, 2024 #1 Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha
Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 3,024 Reaction score 4,031 May 12, 2024 #2 Hizi ndizo nyuzi ninazopenda sasa... Ngoja waje watufafanulie
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 3,024 Reaction score 4,031 May 12, 2024 #3 Hujajaribu Jijiletu?
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,439 Reaction score 5,750 May 13, 2024 #4 unahitaji ngapi kwa idadai mkuu na offer yako ikoje nikuunganishie sehemu chap uondoke na mzigo
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,370 Reaction score 2,100 May 13, 2024 #5 Sijaziona kitambo sana hizo vitu
ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 May 13, 2024 Thread starter #6 DALALI MKUU said: unahitaji ngapi kwa idadai mkuu na offer yako ikoje nikuunganishie sehemu chap uondoke na mzigo Click to expand... Ninahitaji kama 10 hivi na zaidi. Niunganishe
DALALI MKUU said: unahitaji ngapi kwa idadai mkuu na offer yako ikoje nikuunganishie sehemu chap uondoke na mzigo Click to expand... Ninahitaji kama 10 hivi na zaidi. Niunganishe
ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 May 30, 2024 Thread starter #7 DALALI MKUU said: unahitaji ngapi kwa idadai mkuu na offer yako ikoje nikuunganishie sehemu chap uondoke na mzigo Click to expand... mkuu kimya. nina shida nazo
DALALI MKUU said: unahitaji ngapi kwa idadai mkuu na offer yako ikoje nikuunganishie sehemu chap uondoke na mzigo Click to expand... mkuu kimya. nina shida nazo
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,071 May 30, 2024 #8 Katika zama hizi za uwepo wa Computer hsyo madude ya mwaka 47 yanayoitwa typewriter yana kazi gani?
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,439 Reaction score 5,750 May 31, 2024 #9 ismail hassan said: mkuu kimya. nina shida nazo Click to expand... NAKUJIBU HADI SAA KUMI NGOJA NIULIZE KAMA ZITAFIKIA IDAD UNAYOTAKA
ismail hassan said: mkuu kimya. nina shida nazo Click to expand... NAKUJIBU HADI SAA KUMI NGOJA NIULIZE KAMA ZITAFIKIA IDAD UNAYOTAKA
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 1,340 Reaction score 3,237 May 31, 2024 #10 Zanzibar-ASP said: Katika zama hizi za uwepo wa Computer hsyo madude ya mwaka 47 yanayoitwa typewriter yana kazi gani? Click to expand... Kutype official document kama transcript za secondary na document zingine
Zanzibar-ASP said: Katika zama hizi za uwepo wa Computer hsyo madude ya mwaka 47 yanayoitwa typewriter yana kazi gani? Click to expand... Kutype official document kama transcript za secondary na document zingine
C Cennet Senior Member Joined Mar 4, 2024 Posts 185 Reaction score 150 May 31, 2024 #11 Vipi ulifanikiwa??
ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 May 31, 2024 Thread starter #12 Cennet said: Vipi ulifanikiwa?? Click to expand... Hapana mkuu sikufanikiwa
ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 May 31, 2024 Thread starter #13 DALALI MKUU said: NAKUJIBU HADI SAA KUMI NGOJA NIULIZE KAMA ZITAFIKIA IDAD UNAYOTAKA Click to expand... sawa hamna shida
DALALI MKUU said: NAKUJIBU HADI SAA KUMI NGOJA NIULIZE KAMA ZITAFIKIA IDAD UNAYOTAKA Click to expand... sawa hamna shida
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 May 31, 2024 #14 ismail hassan said: Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha Click to expand... hizi mashine kuzipata mpaka uende kule maktaba au kule kwa ofisi za masijala za kioserikali maana hata mm nazitafuta muda mrefu sijafanikiwa labda kwa kuziagiza nje ya nchi
ismail hassan said: Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha Click to expand... hizi mashine kuzipata mpaka uende kule maktaba au kule kwa ofisi za masijala za kioserikali maana hata mm nazitafuta muda mrefu sijafanikiwa labda kwa kuziagiza nje ya nchi
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 May 31, 2024 #15 Cennet said: Vipi ulifanikiwa?? Click to expand... kama unazo unauzaje mashine hizo bei gani
M mwinshehe daffodio Member Joined Sep 27, 2023 Posts 30 Reaction score 31 Dec 1, 2024 #16 ismaili hassan kiongozi nimekuja dm naona kimya naomba tuwasiliane nina shida unisaidie
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,052 Reaction score 1,527 Dec 1, 2024 #17 umefanikiwa kupata