Sijaona hata kundi moja ambalo linamwelezea good husband (from women's experience and perspectives) kama ilivyoelezwa kwenye ile mada ya romance....Caring for the family is not necessarily for the wife and may not be romantic at all!! ...Ndo hao wa kukimbia na magunia ya mikaa, kuku na matenga ya nazi!!
Hiyo namba 10 inawahusu wanaojali familia ila wanaweza wasijali wake zao......wanaweza wasiwe romantic na kwa maana hiyo wanaweza wasiwe good at all.
Kwa mchango wangu huu mdogo, naona kama bado kuna makundi hayajaelezwa.....
Ila huyo Panadol husband anatisha saaana!!