Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,004
- 142,435
They killed that boy for nothing!R I p ...........it is a shame for the whole nation to pretend we are peaceful and love each other Tanzanians while the evil spirits and the hardships of life haunt us......if you are really a lover of progress you cannot enjoy the death of our fellow Tanzanians who went to find satisfaction for their children and families where is their fault? no one has ever even caught it ak 47 .........this is a big barbarity.......from now on there is no free Palestine until the rights of our fellow patriots are found
Hata kama siyo Hamas, ila ni kundi tanzu la Hamas, bado lawama zinawaendea kwao tu maana wao ndo wamehamasisha [no pun intended] hayo mauaji!
View: https://twitter.com/talhagin/status/1736390651095253413
Kuna possibility kubwa wale jamaa sio Hamas, so far watu wengi ambao wapo Familiar na hayo makundi wanasema wale sio Hamas
Mfano hii Badge ya Njano aliyovaa huyo jamaa sio ya Hamas.
Kuna mambo mengi hatujayajua bado, ila ukweli utapatikana tu.
Ni Fatah kundi pinzani la Hamas, kama ni kweli, ina maana Serikali ya Palestina ina la Kujibu, maana kundi Hili lina mahusiano na Serikali Ya Palestina ya sasa.Hata kama siyo Hamas, ila ni kundi tanzu la Hamas, bado lawama zinawaendea kwao tu maana wao ndo wamehamasisha [no pun intended] hayo mauaji!
Please spare us your homoerotic fantasies.They outnumbered that little kid. They were armed while a boy didn't have a pebble.
My fellow little Maasai, was crying for forgiveness while being sure that he had no cause to surrender.
I'm disgusted, I'm hurt. I can feel the pains he had before his last breath. Two shots, the third, his arms waved a bye.
HAMAS must pay. They must all be knocked down. *** them all and their supporters. If you (Ngabu) were supporting HAMAS, so you deserve a deep asshole finger.
View: https://twitter.com/talhagin/status/1736390651095253413
Kuna possibility kubwa wale jamaa sio Hamas, so far watu wengi ambao wapo Familiar na hayo makundi wanasema wale sio Hamas
Mfano hii Badge ya Njano aliyovaa huyo jamaa sio ya Hamas.
Kuna mambo mengi hatujayajua bado, ila ukweli utapatikana tu.
Hamas haijaua raia?Umejuaje kama ameuliwa na Hamas. Israel waliuwa raia wao zaidi ya 80 ile siku palestina wameivamia, wale raia walikuwa kwemye part. But Israel ikawashutumu Palestina ndo imewaua mpaka video za tukio zilipoanza kuvuja ndo wakakiri kwamba wao ndo wamewaua kutokana na pilot kujichanganya. Mateka wengi waliokuwa wametekwa na Palestine wameuliwa na Israel kutokana na kampeni yao ya kusafisha kizazi cha pestina kupitia mashambulizi. So usiwaamini sana hao wajinga
Comment ya hovyo kabisa hii. Nyie vijana, jaribu ni kuficha tupu za akili zenu mbele za watu. Mnajidharirisha sana.Umejuaje kama ameuliwa na Hamas. Israel waliuwa raia wao zaidi ya 80 ile siku palestina wameivamia, wale raia walikuwa kwemye part. But Israel ikawashutumu Palestina ndo imewaua mpaka video za tukio zilipoanza kuvuja ndo wakakiri kwamba wao ndo wamewaua kutokana na pilot kujichanganya. Mateka wengi waliokuwa wametekwa na Palestine wameuliwa na Israel kutokana na kampeni yao ya kusafisha kizazi cha pestina kupitia mashambulizi. So usiwaamini sana hao wajinga
Mapuuzi kama haya ndio yanasababisha chuki, kashfa na uadui dhidi ya uislam humu JF. Suala la yule kijana kwenye hizo video limeumiza sana watu. Binafsi sijalala baada ya kuona hiyo video. Ila kwa kuwa nchi yetu inajifungamanisha na waarabu pitia dini haitatoa tamko lolote. Ile ni video mbaya sana ila hawa waarabu weusi wanaoamini mwarabu akosei wakiangalia dini, wanakwaza sana.Hamas haijaua raia?
Sijajua..but hivi vita vina udanganyifu mwingi sana..ngumu sans kufanya conclusion..ndiyo maana pengine huoni tamko lolote.Hamas haijaua raia?
Huo ni mtazamo wako..usiite wenzako wapuuzi kwakuwa wanamtazamo tofauti na wewe.otherwise sijui nikuitaje wewe.Mapuuzi kama haya ndio yanasababisha chuki, kashfa na uadui dhidi ya uislam humu JF. Suala la yule kijana kwenye hizo video limeumiza sana watu. Binafsi sijalala baada ya kuona hiyo video. Ila kwa kuwa nchi yetu inajifungamanisha na waarabu pitia dini haitatoa tamko lolote. Ile ni video mbaya sana ila hawa waarabu weusi wanaoamini mwarabu akosei wakiangalia dini, wanakwaza sana.
Wewe sio mpuuzi, wewe ni ushuzi kabisa. Pumbavu mkubwa. Watu tumeona hizo video wakimpiga risasi kijana asiye na chochote tena aliyepiga magoti akiomba msamaha. Jamaa wanamshoot huku wakishangilia "alawakubari" alafu wewe unaleta ujuaji. Ebu jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Mnajidharirisha sana.Huo ni mtazamo wako..usiite wenzako wapuuzi kwakuwa wanamtazamo tofauti na wewe.otherwise sijui nikuitaje wewe.