Two men and a woman hanged in public

Two men and a woman hanged in public

Status
Not open for further replies.
Kwanini upate virusi vya ukimwi? Ni bora uletewe vya kuletewa na Mke au mume kuliko kuvitafuta!

Ukipewa ARV feki unapiga kelele? Au unataka muingizaji Wa dawa anyongwe!?

Nani kakuambia kua hizo ni dawa? Dawa ni moja tu ni kuacha ngono Na kutulia na mke au mume!

Ntuzu !......unapataje malaria !?.........je anaye leta cotaxin fake kutoka Nigeria !??:A S wink:
Vipi 'Ebola' ??.......ule ugonjwa unaua mpaka Daktari.
......usikwepe hoja baaana !
 
Mi si mjuzi Wa maandiko bhana! Km hayo masheria yalikuwepo! Binafisi siyapendi na ata Yesu naamini hayapendi hayo masheria ya kuuawana!
Ally Kombo unaipenda sn biblia?

Asante

Qur'an inatwambia 'yamo baadhi ya maneno' yaliyosalimika ndani ya Biblia !:smiling:

Sheria ya kuua ni ya Mwenyezi Mungu, kama vile yeyote aliyekufuru (kumkanusha Mungu wa Kweli) adhabu yake ni kuwambwa msalabani (na hili ndilo kosa alililo sababisha Yesu kupelekwa kwa Pilato - Charge Sheet)
 
Ntuzu !......unapataje malaria !?.........je anaye leta cotaxin fake kutoka Nigeria !??:A S wink:
Vipi 'Ebola' ??.......ule ugonjwa unaua mpaka Daktari.
......usikwepe hoja baaana !

Mkuu KWa hoja ya magonjwa ya kuambukizwa na wadudu au hewa au ya mlipuko Mimi hapo sina hoja!

Wanaoingiza dawa fake kwa magonjwa hayo walaaniwe! Lkn ngoma dawa yke ni kuacha ngono!
 
Qur'an inatwambia 'yamo baadhi ya maneno' yaliyosalimika ndani ya Biblia !:smiling:

Sheria ya kuua ni ya Mwenyezi Mungu, kama vile yeyote aliyekufuru (kumkanusha Mungu wa Kweli) adhabu yake ni kuwambwa msalabani (na hili ndilo kosa alililo sababisha Yesu kupelekwa kwa Pilato - Charge Sheet)

Mkuu na wewe waamini Yesu alikwenda kwa Pilato!
 
VERY GRAPHIC!!

Video from the city of Ahwaz in the Khuzestan Province, Iran shows public execution of three people by hanging. Two condemned were men, one was a woman. The three had their hands tied behind their back and were suspended by their necks with a crane. The woman who was in the middle, flanked on both sides by men was struggling the most but after a minute, like her two companions, the wriggling stopped.

As is a tradition in Iran, the execution was carried out in a public place with huge crowd gathered to witness the spectacle. VIDEO

Siku moja Yesu Kristo alikuwa akipita mitaani, akakuta mwanamke ambaye alikuwa amehukumiwa kufa kwa kupigwa mawe, kosa eti alizini. Yesu alijuwa kuwa wote waliokuwa katika kundi la wapiga mawe walikuwa si wenye hadhi ya kuhukumu hivyo aliwaambia:" Na yeyote asiyekuwa na dhambi ya zinaa katika kibanda chake awe wa kwaanza kutupa jiwe". Watu wote walisambaa na ndiyo ikawa mwisho wa wayahudi wanafiki kusingizia watu zinaa na kuwauwa kwa kuwapiga mawe.

Sasa hivi Tz Mchaga kumsingizia Babu Seya zinaa ili afungwe maisha kumwondoa katika ushindani ni kitu kusikilizana tu. Mahakama zinasikiliza ushahidi tu na kufunga watu. Hata mashahidi wa kununua wapo.
 
Watu washenzii na midinh ya kishenzi. Hao washabiki ndio Mungu. Very uncouth. Walaaniwe na vizazi vyao. Eti tuki karne hii. Ujima ntupu. Zanzibar ndii wanataka.
 
Watu washenzii na midinh ya kishenzi. Hao washabiki ndio Mungu. Very uncouth. Walaaniwe na vizazi vyao. Eti tuki karne hii. Ujima ntupu. Zanzibar ndii wanataka.
nyoosha sentensi.., imepinda pinda..
 
Mkuu KWa hoja ya magonjwa ya kuambukizwa na wadudu au hewa au ya mlipuko Mimi hapo sina hoja!

Wanaoingiza dawa fake kwa magonjwa hayo walaaniwe! Lkn ngoma dawa yke ni kuacha ngono!

Sisi tumeambiwa tusiikaribie zinaa (ngono) !........zinaa ni kitendo cha kufanya ngono bila haki !:A S wink:
 
Watu washenzii na midinh ya kishenzi. Hao washabiki ndio Mungu. Very uncouth. Walaaniwe na vizazi vyao. Eti tuki karne hii. Ujima ntupu. Zanzibar ndii wanataka.

.........duuuh ! naona utakuwa umezama kabisaa ndani ya maji na kufa !😛ray:
 
Mkuu na wewe waamini Yesu alikwenda kwa Pilato!

.........yamo maneno 'yaliyo salimika na ambayo hayakusalimika (chakachuliwa)' !
Qur'an inakataa kuwa Yesu alisulubiwa !.........haikusema kuwa hakufikishwa kwa Pilato !:smiling:
 
.........yamo maneno 'yaliyo salimika na ambayo hayakusalimika (chakachuliwa)' !
Qur'an inakataa kuwa Yesu alisulubiwa !.........haikusema kuwa hakufikishwa kwa Pilato !:smiling:

Mkuu Km unakataa Yesu hakusurubishwa utapata vipi ondoleo la dhambi?
 
Mkuu Km unakataa Yesu hakusurubishwa utapata vipi ondoleo la dhambi?

.......waliosulubiwa ni wenye laana !..........imo katika kumbukumbu la Tourat !:A S wink:
Kama wewe umeondolewa dhambi kwa kusulubiwa Yesu, vipi kujenga makanisa na kwenda makanisani ?😛ray:
Kama Yesu ni mungu, je, mungu anauliwaje na watu wake ?
Kama yesu ni mwana wa mungu, mungu anamtoaje kafara mwanae kwa ajili ya kufutia watu dhambi, ikiwa uwezo wa kufuta au kutofuta umo mwake ?
 
.......waliosulubiwa ni wenye laana !..........imo katika kumbukumbu la tourat !:a s wink:
Kama wewe umeondolewa dhambi kwa kusulubiwa yesu, vipi kujenga makanisa na kwenda makanisani ?😛ray:
Kama yesu ni mungu, je, mungu anauliwaje na watu wake ?
Kama yesu ni mwana wa mungu, mungu anamtoaje kafara mwanae kwa ajili ya kufutia watu dhambi, ikiwa uwezo wa kufuta au kutofuta umo mwake ?

unaamini mwenyezi mungu ni muweza wa kila kitu?
 
.......waliosulubiwa ni wenye laana !..........imo katika kumbukumbu la Tourat !:A S wink:
Kama wewe umeondolewa dhambi kwa kusulubiwa Yesu, vipi kujenga makanisa na kwenda makanisani ?😛ray:
Kama Yesu ni mungu, je, mungu anauliwaje na watu wake ?
Kama yesu ni mwana wa mungu, mungu anamtoaje kafara mwanae kwa ajili ya kufutia watu dhambi, ikiwa uwezo wa kufuta au kutofuta umo mwake ?

Mkuu chagua kitu kimoja tujadili! Naona unauliza mambo au unagusia mambo mengi! Chagua kipi unapenda tujadili?
Na pia ukichagua kimoja tukijadili hicho mpk tukimalize ndio twende kingine na si kuruka hapa au pale!

Asante!
 
Ni kupendana na kumtendea mwanzako kama wewe utegemeavyo akutendee wewe!
Nimewakilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom