Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 184
Ukiona sheria ya nchi yako ni kikwazo kwako na hakuna anayekusupport, basi hama tu hiyo nchi, vinginevyo kama unaendelea kukaa katika hiyo nchi huna budi kutii sheria zilizopo, ukijifanya mjuaji na kwenda kinyume, ndo hivyo inakula kwako.
Gudubai wamarehemu, mgelijua hilo mgekua mmehamia bongo land kitambo sana maana huku kwetu hata ukiua kama wewe unavijihela huyoooooo unakatiza mitaa tuuuu hakuna atakayekugusa
Gudubai wamarehemu, mgelijua hilo mgekua mmehamia bongo land kitambo sana maana huku kwetu hata ukiua kama wewe unavijihela huyoooooo unakatiza mitaa tuuuu hakuna atakayekugusa