Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
Ina maana jamaa walikuwa na usongo wakafungua mlango kabla ya Waingereza wenyewe au vipi?
Hapa kuna homophobia pamoja na utamaduni wa machismo ya ajabu.Jamaa hawajaingia kwenye anga zangu na wala mimi sijaingia kwenye anga zao.Poa kivyao na mimi poa kivyangu. Hivi kama baadaye mashoga ndiyo wanakuwa majority halafu wakianza kuku discriminate wewe kwa sababu wewe ni minority (straight) utajisikiaje? Hii ni sawa na kum hate mtu kwa sababu anapenda vanilla on his ice cream na wewe unapenda chocolate, kama hajakulazimisha kula utam-mind kwa misingi gani? Kila mtu kivyake. Nchi za watu wote nyie wenye homophobia mnapewa diversity class ya mwezi mmoja kwa matamshi ya kibaguzi.
Halafu watu hao hao wanao discriminate gays kwa basis ya sexual preference wakiwa discriminated against on basis of color watajisikia vibaya? Ubaguzi, katika context hii, ni ubaguzi tu.
Hizi outrage nyingine nafikiri tunaprotest too much, which says so much about our very own insecurities with the subject.
Well said BLURAY!...Kila mtu na maisha yake sioni sababu yeyote ya mtu kusema ooh kinyaa!....kuna wengine wanajidai kinyaa na usikute ni bisexual (on the down low).....Mtu ametokea kuwa Gay unataka afanye nini ajiue/anjinyonge au umpigie risasi as long as they don't envade your privacy what do you care....kila mtu na maisha yake kwa kweli...
Hongereni saana tuu Ngengi na Chege....i wish you happy marriage....
mmh mama na wewe mwanachama nini ki TiGo?Well said BLURAY!...Kila mtu na maisha yake sioni sababu yeyote ya mtu kusema ooh kinyaa!....kuna wengine wanajidai kinyaa na usikute ni bisexual (on the down low).....Mtu ametokea kuwa Gay unataka afanye nini ajiue/anjinyonge au umpigie risasi as long as they don't envade your privacy what do you care....kila mtu na maisha yake kwa kweli...
Hongereni saana tuu Ngengi na Chege....i wish you happy marriage....
babu acha bangi,hiyo google translation kwa kiswahili msala mtupu maana sijui kama inaelewekaTranslation: English » Swahili
Imekuwa ya harusi ya majadiliano ya wiki mjini London kati ya Kenya jamii. Ya harusi ya Mheshimiwa Daniel Chege Gichia, 39, ambaye Wed Charles Ngengi, 40, mjini London jumamosi tarehe 17 Oktoba, 2009. Ni gay Kenyan kwanza harusi nchini Uingereza ambapo washirika wote ni kutoka Wakenya. A timu ya kuhusu watu 20 ikiwa ni pamoja na wageni aliwasili saa saa Islington Ofisi ya Msajili wa Baraza, Islington Town Hall, London Kaskazini saa 11:30. Bridal bestod ya chama Wamama Kenya mbili na mbili ya watu wa Kenya ambayo mmoja alikuwa flown kutoka Uholanzi kwa ajili ya harusi. Kulikuwa na maelekezo kali sana juu ya vyombo vya habari. The press watu walikuwa alikanusha kuingia ofisi ya msajili na hata baadaye kulikuwa na joto hoja waandishi wanaume ambapo chama bridal alisisitiza kwamba vyombo vya wanaume wanapaswa kuondoka lakini hawakuwa na uwezo wa kufanya hivyo kama ilivyokuwa katika mahali umma. Baada ya harusi ya dygnet sherehe ikifuatiwa Kaskazini London saa Safari Bar, 975 High Road, North Finchley. Wapatao 100 guests walihudhuria dygnet. Kulikuwa na mvutano katika dygnet kama baadhi ya timu ya usalama kufukuzwa baadhi cameramen kuogopa kwamba habari na photos ingekuwa nchi ndani Kenya magazeti. Miongoni mwa wageni ambao walihudhuria harusi alikuwa mwanamke mwenye umri wa Kenya sasa kutembelea escorted Uingereza ambaye alikuwa na binti zake watatu wa harusi. Baada ya kushuhudia kile kilichojitokeza zamani mwanamke alikuwa na haya kusema: "Ngai ûroigire ûndehe rûraya nyone maûndû maya moru ta itanakua. NIKI Hihi? Nîkio Kana airîtu ayaṃ aitû maraga athuri? (Jinsi Mungu kuruhusiwa kuja kwangu kuja juu na Uingereza kuona mambo kama hayo. nini? Je, hii ni nini na kusababisha wasichana wetu si kuolewa?) ni "tamaa lady commented
hata mie nadhani karatasi hapo maana kuna mahali nimeona jamaa kaingia U.K juni,na huyo mkewe alikua ameachika na nadhani ana hali mbaya,inawezekana biashara,jamaa arekebishe atambae,si ajabu maana huyo shoga history yake inasikitishaWee mwenyewe tunajua ni GayVana aka Governor wa Magay wa Kiislamu. Vinginevyo huo ni mchezo wa kuigiza tu. Jamaa wanatafuta makaratasi hao.
Kelly, nilitaka niseme kitu lakini for 'conflict of interest' sitasema hapa...nitakuwa biased tu...😎
Hata kama kila mtu na maisha yake lakini hii ya kuwa gay ni laana jamani khaaaa!! Sipati picha mwanaume mzima na akili yake kummega mwanaume mwenzake. Inasikitisha haswaaaaaaaaa!!!!.
Vipi wanawake kwa wanawake?
Yaani wakuu dunia imekwisha, waafrika tumefikishwa huko lo!