Two in one

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
:angry: Ni waja wenye uelewa mpana sana ni wenye kuweza kufanya mengi sana,ya kupatanisha wanapoamua heri......ya kugombanisha wanapoitaka shari.....wako huku na huku ni watu hatari......TWO IN ONE TUWAOGOPE.... HAWANA HERI.......sipendi mtu mmbea:angry:
 
Akina nani hao?
 
.
Usikubali kufa na tai shingoni, walete hapa tuwajadili. Elewa kwamba uwazi hupunguza hatari ya kuugua BP!!
 
Back
Top Bottom