Twitter yakitambua Kiswahili rasmi

Twitter yakitambua Kiswahili rasmi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Baada ya miaka mingi ya kampeni hatimaye uongozi wa Twitter waitambua lugha ya Kiswahili

> Sasa watumiaji wa Twitter wateweza kutafsiri jumbe zao kutoka lugha nyingine na Kiswahili tofauti na hapo awali ambao maandishi ya kiswahili yalichukuliwa kama lugha ya Indonesia

> Hatua hii inakuja baada ya kampeni ya muda mrefu iliyolenga kuwahamasisha Twitter kuitambua lugha ya Kiswahili yenye watumiaji wengi katika ukanda wa Afrika Mashariki.

> Kampeni hiyo ilitumia 'Hash tag' mbili.
1) [HASHTAG]#SwahiliIsnotIndonesian[/HASHTAG]
2) [HASHTAG]#TwitterRecognizeSwahili[/HASHTAG]


=======

(CNN)After years of hashtags and outcries, Twitter now recognizes Swahili, one of East Africa's most common languages.

And that's poa sana -- or as Twitter would tell you, pretty awesome.

The social media platform now offers translation for the language spoken by tens of millions in Kenya, Uganda, Tanzania and some parts of the Democratic Republic of Congo.

It's unclear when Twitter started recognizing Swahili. Before that, it described Swahili tweets as Indonesian and translated them into a mumbo jumbo (or mambo, in Swahili) of incoherent words.

The recognition comes after a campaign by Kenyans on social media, who regularly used hashtags [HASHTAG]#SwahiliIsNotIndonesian[/HASHTAG] and [HASHTAG]#TwitterRecognizeSwahili[/HASHTAG] on the social media platform to demand recognition.

The social media platform is popular among Africans, who use it to amplify their concerns and create online communities. Africans on Twitter also use it to celebrate their cultures, air their grievances or just share a good joke.

Kenyans are among the most active social media users in Africa.

"We discuss life, love, politics, philosophy, and all else one would expect," says Mark Kaigwa, founder of the African digital strategy consultancy Nendo.

They also use the network to crowd-fund for campaigns and highlight the positive side of Africa.
 
Wakenya wamekipigania kiswahili km ni chao
Ni kweli ajabu sisi wabongo ambao tulipaswa hasa kuwa mstari wa mbele kukipigia debe, ndio tunakipoteza, chukulia mfano wa watu ambao wangekipigania sana, Wabunge wetu wengi wanachanganya kiswahili na kingereza wakiwa bungeni, na mbaya zaidi kwenye Radio zetu, wanaharibu sana kiswahili chetu kwa kuchanganya sana na maneno ya kingereza, ile kamusi ya kiswahili iliyozinduliwa na viongizi wetu iko wapi sasa, nahisi imeshafukia kabatini. Je tutafika na kiswahili chetu?
 
Ni kweli ajabu sisi wabongo ambao tulipaswa hasa kuwa mstari wa mbele kukipigia debe, ndio tunakipoteza, chukulia mfano wa watu ambao wangekipigania sana, Wabunge wetu wengi wanachanganya kiswahili na kingereza wakiwa bungeni, na mbaya zaidi kwenye Radio zetu, wanaharibu sana kiswahili chetu kwa kuchanganya sana na maneno ya kingereza, ile kamusi ya kiswahili iliyozinduliwa na viongizi wetu iko wapi sasa, nahisi imeshafukiwa kabatini. Je tutafika na kiswahili chetu?
 
Ni kweli ajabu sisi wabongo ambao tulipaswa hasa kuwa mstari wa mbele kukipigia debe, ndio tunakipoteza, chukulia mfano wa watu ambao wangekipigania sana, Wabunge wetu wengi wanachanganya kiswahili na kingereza wakiwa bungeni, na mbaya zaidi kwenye Radio zetu, wanaharibu sana kiswahili chetu kwa kuchanganya sana na maneno ya kingereza, ile kamusi ya kiswahili iliyozinduliwa na viongizi wetu iko wapi sasa, nahisi imeshafukia kabatini. Je tutafika na kiswahili chetu?
Redio km VOA, BBC swahili, Dw ndo zinaonges kiswahili sanifu
 
leo utasikia mungu wa dar akiitisha pres akisema juhudi za awamu ya tano iyo
 
Najivunia Kiswahili.

Itafika kipindi watu wataelewa English ni lugha tu kama Kichaga.
 
Back
Top Bottom