Twitter yakitambua Kiswahili rasmi

Twitter yakitambua Kiswahili rasmi

Kiswahili ni "ki bantu au kiarabu" jadiri
Japo umetumia Lugha ya Kiswahili lakini una uandishi mbovu sana. Huko tunakoelekea Lugha ya Kiswahili itakuwa sawa na lugha ya Kichina. Pamoja na kutumia smartphone lakini hauna tofauti na mtoto anayesoma darasa la pili.
Jadiri-jadili.
 
Back
Top Bottom