Fuatilia) follow), watangazazi maarufu wa Michezo wa ndani na nje ya nchi, Mfano Maulid Kitenge, Shaffii Dauda etchuwa napendelea sana habari na michezo sasa mfano kwenye twitter nifuatilie page gani!
Ifikie wakati mujifunze "MAKING & SPENDING"Kwanini usijifunze namna ya kutengeneza hela kwenye mtandao kuliko kutumia mtandao kuweka picha zako na kuchat na mademu tu
Kitenge??Fuatilia) follow), watangazazi maarufu wa Michezo wa ndani na nje ya nchi, Mfano Maulid Kitenge, Shaffii Dauda etc
nashukuru na kwenye habari na matukio nifuatilia akina nani!Kitenge??
Follow skysport,433,Fabrizio,Champion leagues, pia follow club zako pendwa mfano Man.U,ManCity,PSG n.k
Kwa bongo
Follow george ambagile,Farhanjr(anajuaaa),,Shafiidauda,,Oscaroscar(kwa meme tu),,Ujugu hapa(meme za michezo),,Alwaatan abdulaziz,Tunu hassan...Gift macha,,privadinho,,pia follow timu yako pendwa kama simbasc,Yanga,,mbeya city n.k n.k
Twitter zaidi ya kitabuSikuizi nimeanza kupenda Twitter zaidi kule Kuna madini
Millard Ayo iwe namba moja kabsanashukuru na kwenye habari na matukio nifuatilia akina nani!
asante sanaMillard Ayo iwe namba moja kabsa
Kisha page za station kama EFM,CLOUDS ,EATV , WASAFI n.k n.k pia Online TV kama Bongo5,,swahilimedia,dar24News n.kn.k
Pia page za umbea kama carrymastory,,,Mangekimambiz,Jaymaudaku, mfungua code n.k
Pia unaweza wafollow watu unaowakubali kama wasanii,,wachezaji n.k n.k
Upo sahihi mkuuIfikie wakati mujifunze "MAKING & SPENDING"
Sikila sehemu tu na kwenye kila kitu Basi utake kutengeneza pesa Kuna sehemu ni nakutumia hizo pesa ulizotengeneza...Mtu anaweza akatumia mitandao kuwa sehemu yake ya ku-reflesh tu Basi ikatosha out of Social Network anatengeneza mamilioni kwa siku.
Wanaotengeneza pesa Online ni sehemu yao na Kuna watu si sehemu yako...
Hajataja NICHE ninayoifuatilia mtandaoni angetaja ningemshauri Clear lakini all in all kwenye suala la content ya Niche yoyote ile hakuna kama Twitter.Upo sahihi mkuu
Haya msaidie ndugu yako hapo
Kabisa I wish ningejua mapemaTwitter zaidi ya kitabu