Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
- Thread starter
- #21
nikisoma media ni kama wanajitafutia wenyewe nyumba nk, huku kiongozi anatoa kwa utashi na mapenzi kwa mchezajiSijawahi kusikia huu upuuzi... Nachojua majuu hakuna kitu cha kupewa wala bure kila senti unayotengeneza ina mahali pa kutokea. Wachezaji wanagharamia hizo luxury toka katika mishahara yao kama wafanyakazi wengine.