TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha

Kinacho nishangaza

Watumiaji wa mitandao

Mnawasema vibaya saaana viongozi wa kitaifa

Mkapa
Alisemwa saana kuwa kauza nchi kwa mabeberu

Kikwete
Yaani alisemwa hadi mimi nilishindwa kuvumilia ingawa sikuwa nasemwa mimi

Magufuli
Hata miaka miwili hajamaliza yaani anasemwa mpaka huwa nalia peke yangu

Leo mtu anaokota au kununuliwa simu yenye mtandao na anaanza kumtukana Raisi

Jueni kuwa Raisi anayetawala amepewa mamlaka hiyo na wananchi, kumtukana yeye ni kama unawatukana wananchi
Yaani unajitukana mwenyewe

Kama Raisi hajakuridhisha basi muda wake ukiisha usimpigie kura

Ndo dawa

Kumtukana au kumkashifu ni kosa na siyo njia sahihi ya kumshauri

Kama amekosea ni vema kumshauri kwa busara, kama hataki ushauri usimlazimishe, katiba inampa mamlaka ya kukataa ushauri wako

Ivi mnataka Raisi afanye kazi zake kwa miongozo ya posti za Wasap, facebook, jamiiforum, twitter, instagram, mabro, udaku, au umbeya wa mtaani ?

Wekeni basi kwenye katiba kuwa vyombo hivyo vimwongoze Raisi ili avisikilize na kuvifuata

Mchagueni basi huyo mnayetaka awe Raisi wenu ili awaongoze, katika uchaguzi ujao

Hiki kipindi Raisi ni Magufuli, ingawa hata mimi ameniudhi kwa kuto kuongeza mshahala wa wafanyakazi mwaka uliopita lakini nalazimika kumheshimu

Inawezekana ana maana ambayo mimi bado siijui

Kama mnataka raisi wenu awe Lowasa, au Lissu, au Mbowe, au Lipumba, au Zitto, au Gwajima au Mange Kimambi, au Ney wa Mitego si mumuchague uchaguzi ujao ?

Kama ni hasira ya vyeti feki, serikari imeshasema kama uliyetumbuliwa kwa makosa, apeleke vyeti vyake arudishwe kazini.

Kama mna hasira na Makonda RC wa Dar, mwachieni Raisi atamtumbua kwa mda wake anaotaka kwani katiba inamruhusu hivyo. Raisi amesha sikia kilio chenu dhidi ya RC Makonda.

Nape baadae atapewa ukatibu mkuu wa CCM au Uenyekiti au Uwaziri ni swala la muda tu CCM bado inamuhitaji.

Hebu muheshimuni Raisi wetu mnamzungumzia sana ki uasi hadi mnakera

Mbona sisi tulio mchagua hatusemi, tunamshauri kwa hekima na anatusikiliza.wengi wenu hata kura hampigi kazi yenu ni kufuata mkumbo tu.

Kwa dhati kabisa nawaomba radhi kama ndugu zangu. Ila nawaasa watanzania wenzangu muwe na staha katika kumshauri Raisi wetu.

Raisi si malaika ni kama wewe tu, ivi sheria inayosema, anayekosea apigwe mawe hadi kufa, ivi wewe ungekuwepo hai kama sheria hiyo ingefanya kazi ?

Tumieni busara mnapokosoa viongozi wenu.

Samahanini niliowakosea
Wangetumia busara kwenye kutuongoza labda tungetumia busara kwenye kuwasema

Hivi vitu ni two ways usitake ufanyiwe wakati wewe hufanyi
 
Wadaku hampendi ukweli, mnabwabwaja tu huku njaa zinawauma. Hata kazi ya kumfuntia viatu Kiongozi Jembe mkipewa mtakubali na chuki zenu kwake hata kwa bosi wake. Wavivu wakubwa na mmejaa wivu ma tamaa.

Mtanyooka tu
 
Mleta mada aliposema Roma hajatoa wimbo wowote hapo hapo nikaona nisipoteze muda wangu kusoma bandiko lake, yupo nyuma ya wakati, wimbo umevuja kitambo na unasambaa kwa kasi, upo dunia gani? Hii hii ya information era?

upi huo mkuu, ebu weka hapa, najua inauma kuonekana mpuuzi, ebu uweke ambao roma anaimba na anaweza kukamatika
 
Kuna nguvu kubwa kumdidimiza Rais
nacho kilaumu wanatumia mbinu za hovyo kuliangamiza Taifa
na kitu chakushangaza watanzania wengi wamekuwa kama watoto wasio taka kutumia akili zao!
Leo uzushi unakuwa unashupaliwa
watu wanashindwa hata kufanya kazi
kisa uzushi!!

Hawa wauza madawa, Wasuka madili hawata penya
Usiwafanye watanzania wengi ni watoto.
Wewe unashabikia matendo ya serikali kwasababu unalipwa hela na si bure
Ngoja siku yamkute ndugu yako mlioshibana ndio ujue watanzania wengi wanaopinga utendaji mbovu wa serikali wako sahihi.
Jiulize uhakiki wa Vyeti umeishia wapi? Bashit anaubia gani na serikali hii hata asihakikiwe? Kwanini yeye anakuwa mstari wa mbele kwa kila tukio baya la nchi hii?
Utekaji wa tv yupo, utekaji wa Roma na rafiki zake yupo, Vyeti feki yupo lkn mamlaka za juu zina muangalia afu unajifanya huoni
 
Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

Hili Kundi ni wale waliotarajiwa

1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako

2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika

3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie

4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!

Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni

Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa

Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!

Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu

Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema

acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!

na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)

Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)

Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?

Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!

Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu

watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga

Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??

Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani

ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!

Hongera! Umejitahidi kupiga porojo!!
 
Sasa sijui nikujibu ipi!!
maana umejirusha vyakutosha!!
c1cafe33c237fd63fef51b5cf7469319.jpg
 
Bro umesema raisi anaweza kuuwawa?? Vitu vingine hivi usalama wataifa ukiwakamata mutatesa ndugu zenu bure!! Ohooooo!
 
Nimekuelewa vizuri Mkuu...
Lakini matukio yote haya Rais haongei, VP haongei, PM haongei, Home Affairs Minister haongei..
Badala yake anaongea Bashite..!!
Nani hao wanamchezea Rais..?? Bashite and his gang??
Hilo ndo swali la msingi kwa nin hawaongei? au wanafanya under cover investigation? anyway kimya chao labda kina mshindo mkuu,this z called cool one's heels....let us be like that.
 
Huyu alieandika huu uzi nazani ana upungufu wa akili lasivyo dishi limeyumba ndiomaana anatuletea pumba hizi.. gengelake ndiyiyo wausika wakuu ..kwahiyo astuletee polojo zakijinga hapa
 
Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

Hili Kundi ni wale waliotarajiwa

1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako

2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika

3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie

4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!

Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni

Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa

Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!

Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu

Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema

acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!

na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)

Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)

Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?

Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!

Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu

watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga

Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??

Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani

ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!
Umeandika utoko
 
Una ushahidi kuwa watu wa madawa ndiyo wanahusika na utekaji watu nchini?. Sapoti andiko lako kwa ushahidi siyo hisia.

Vipi Ben saanane katekwa na kundi gani katika hayo uliyoyaorodhesha!

Usiisingizie CCM, CCM haijaamuru mtu atekwe!

Vipi Bashite alivyovamia Studio na mabunduki nayo aliagizwa na wanaotaka kuichafua serikali?

Leo kwenye Deutchwelle rafiki yako Zitto naye amesema amepata taarifa kutoka katika vyanzo vyake kuwa anataka kutekwa, hebu tuambie wewe Waberoya, huyu Zitto naye kapewa pesa na kundi lipi la wauza madawa ili kuipa bad publicity serikali?

Acheni kudanganya watu, What is done in darkness is being revealed to light!, everyone is seing what is taking place!

Halafu huzungumzi chochote kuhusu Bashite na mission zaje za kuvamia vyombo vya habari, you are not fair ktk analysis yako na tayari uko sided kumask kitu fulani, this is wrong!!
 
Namkumbuka Gwajima aliposema;
"Zero in paper transilate zero in thinking, zero in speaking and zero in doing"
 
Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

Hili Kundi ni wale waliotarajiwa

1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako

2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika

3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie

4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!

Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni

Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa

Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!

Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu

Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema

acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!

na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)

Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)

Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?

Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!

Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu

watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga

Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??

Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani

ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!
Kundi la watu wa kanda ya kaskazini mwa Tz kushirikiana na wengine wachache ila ni kwa masrahi ya kanda ya kaskazini. Wanafanya kila linalowezekana JPM asitawale ila wataferi tu
 
Hakuna mtu anayependa Rais ashindwe, kwani akishindwa jua Tumeshindwa wote.

Adui yake mkubwa ni yeye Mwenyewe!

Mmeanza kuleta Visingizio baada ya kuona ameshafeli kuendesha nchi.
Akiferi wala sijuhi kama wewe utakaa hata sekunde moja kupost hapa Jf. Na wala usiombee nchi ikaferi, yawezekana hujui ulichokisema. Kawaulize wazee wako, kama imeferi leo wewe kesho unaamkaje?
 
Bas
bahati nzuri ama mbaya ni ids zile zile za Lumumba,Nape nae pale Protea alikuwa anataka kujiteka?!

Dr. Ulimboka nae alijiteka,akajing'oa meno na kucha kwa plies mwenyewe?!

Bensaanane nae alijiteka na hadi leo anaendelea kujiteka huku polisi wakishindwa hata kutafuta mawasiliano yake na mara ya mwisho mnara ulisoma yupo wapi?!

Wakina Bashe,Msukuma na Malima waliripotiwa kutekwa Dodoma (kwani waliwekwa kizuizini bila ya kosa) kwa kutumia mitutu,kumbe nao walikuwa wanajiteka ili wasihudhurie vikao vya chama!!

Taifa linafanywa la kipumbavu,la kujaza propaganda ili kutisha na kusaidia utawala mfu!!
Bashe na wenzake hao wanajulikana liko wazi wala usitusumbue kutuuliza.
 
Back
Top Bottom