TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha

Hakika Dr. Kikwete, alisema ukigusa wauza unga nchi itatikisika na utaona mengi, kwa macho na masikio yangu nimeshuhudia na kudhibitisha.

Kwa sasa ninachofanya, nazidi kuandika tu majina na kila anayeinua kichwa , ili apondwe kichwa na yule mpondaji!!

Haa haaa haa naota tu jamani, nasikia hadi wabunge wapo, wenye dini wapo, wanasiasa wapo...... A list goes ahead......

Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

Hili Kundi ni wale waliotarajiwa

1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako

2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika

3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie

4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!

Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni

Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa

Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!

Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu

Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema

acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!

na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)

Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)

Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?

Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!

Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu

watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga

Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??

Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani

ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!
NOVEL NDEFU CHAAAA; NTAMALIZA KESHO LABDA MTUNZI HATAPUNGUZA HASIRA NA JAZIBA....
 
Mleta mada aliposema Roma hajatoa wimbo wowote hapo hapo nikaona nisipoteze muda wangu kusoma bandiko lake, yupo nyuma ya wakati, wimbo umevuja kitambo na unasambaa kwa kasi, upo dunia gani? Hii hii ya information era?
 
Naomba ulinzi
Mpuuzi katika kiwango cha Bashite! Kama wewe ni mtu sijui wa system hakuna haja ya kuwa na system yenye Bashites kama nyie. Hebu rudia kusoma post yako uone kama kuna lolote la maana uliloongea?
 
Mleta mada aliposema Roma hajatoa wimbo wowote hapo hapo nikaona nisipoteze muda wangu kusoma bandiko lake, yupo nyuma ya wakati, wimbo umevuja kitambo na unasambaa kwa kasi, upo dunia gani? Hii hii ya information era?
Ameamka tu akapewa bk.3 za bando akaanza kutiririka upupu, atajuaje Roma katoa wimbo wakati anatumika?
 
Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

Hili Kundi ni wale waliotarajiwa

1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako

2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika

3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie

4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!

Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni

Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa

Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!

Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu

Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema

acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!

na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)

Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)

Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?

Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!

Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu

watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga

Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??

Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani

ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!

Ms.... We
 
sijasoma upuuzi kama huu sikunyingi!! Tukio la clouds kama SI kamera mngeruka futi Mia...shenz kabisa,mnadhuru alafu mnawahi mitandaoni kupindisha habari
 
Kuna nguvu kubwa kumdidimiza Rais
nacho kilaumu wanatumia mbinu za hovyo kuliangamiza Taifa
na kitu chakushangaza watanzania wengi wamekuwa kama watoto wasio taka kutumia akili zao!
Leo uzushi unakuwa unashupaliwa
watu wanashindwa hata kufanya kazi
kisa uzushi!!

Hawa wauza madawa, Wasuka madili hawata penya
Tutamlinda Rais wetu nguvu zote.Mie huwa hawanipi shida kwa sababu sie tupo hatua kumi mbele yao.chochote wanachopanga tunakijua.
Yaani Bashe amejitumia sms halafu anasema ametishwa?ndipo tulipofika hapa!
 
Kuna nguvu kubwa kumdidimiza Rais
nacho kilaumu wanatumia mbinu za hovyo kuliangamiza Taifa
na kitu chakushangaza watanzania wengi wamekuwa kama watoto wasio taka kutumia akili zao!
Leo uzushi unakuwa unashupaliwa
watu wanashindwa hata kufanya kazi
kisa uzushi!!

Hawa wauza madawa, Wasuka madili hawata penya
Du kwa mawazo ya kimmamalia kama haya lazima nchi ishindwe
 
Kosa unalolifanya ni kuchangia kwenye thread ya huyu majitaka mwana mtoka pabaya..

Huyu yuko radhi aachie kitoa upepo bashite achomeke atakacho...

Oooh sorry kumbe natumia hii ID ya kutongozea MMU kule...

Ngoja nirudi na ID maalum kwa hili jukwaa.

Stay tuned...
Mkuu hahahaha...
Umeuwa..!!
 
TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha
Na kweli wanajitahidi, maana hata Maxence Melo alivyochukuliwa na kushtakiwa kila kitu kila hewani, hili swala la kusingizia viongozi kuwa wamefanya vile au kufanya hivi yote ni kuvuruga mantiki na mwendeleo hasa wa uongozi ulivyo, kule kushangilia bungeni tu kwa wabunge wetu kulitupa mwanga mzima.

Yaonekana UOZO uliopo haujaisha, labda afukuze wote aanze upya kabisa na watu wapya ambawo hawajawahi kushika madaraka, kila cheo ambacho ni dhamana kuna FISADI, haijalisha awe na Masters au Phd, wao kujali ni matumbo yao tu, hawa hasa ndio vinara, halafu wanafuata wale wajinga wa SEMBE na waliopenda na bado wanaendelea kupenda kuendelea kuitia nchi umaskini kupitia rasilimali zake.

Kwa kweli itatuchukuwa muda sana kujijuwa, bungeni hata Lema anajiona Mandela!!! LOL.

Haya makelele hasa huku Dar Es Salaam yangeelekezwa kwenye miundo mbinu mjini na mitaani, mbona mwaka kesho tungeula, ila tumeshupalia hili la [HASHTAG]#romamkatoliki[/HASHTAG] mpaka mvua zitaisha na mwaka kesho yatakuja majanga yale yale mitaani, vinyesi kutambaa mtaani!
 
Naomba ulinzi
Tatizo ni busara pungufu za Magufuli, mishale ya kujichoma ni mingi sana............mtasingizia watu tu, Kwa Sheri's na taratibu tulizo nazo..... ni dhahiri kuwa Magufuli atakuwepo miaka kumi yote! iwe anachukiwa au kupendwa!, wengi wanalijua hili. Kwa kulijuwa hili watamchafua ili iweje???......binafsi nashawishika kuamini matukio haya yanafanywa na kundi la Magufuli.
 
Non sense

Nothing make sense hapo

Mtake msitake Bashite & Makomeo ndio tatizo kubwa la kila kitu kwa sasa

Hivi kwa akili zenu nduchu mnafikiri hiki kizazi cha sasa hivi ni kama kile cha zamani

Poleni sana,mkajipange upya
Waberoya njoo upate akili toka kwa dada zako huku...

Unatia aibu mtoa mada.. Marindaless nini!??
 
So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Hawa walitekwa na suspect no 1 ni aliesema atafanya juu chini wapatikane kabla ya jpili.

Uwe na haya na aibu..jaribu kujisitiri kidogo... upo mtupu kabisa..!!
Kwa nilivyo muelewa mtoa mada ni kwamba kuna kundi linacheza huu mchezo ili kuleta sintofahamu nchini na JPM asipate utulivu wa kutawala,so kuhusu Roma kuna uwezekano ni mhanga tu wa huo mchezo unaochezwa na kuna uwezekano yakaibuka mambo mengi sana hata mauaji na milipuko ili tu kumvuruga JPM......sijui kama umenielewa.
 
Nimekuelewa vizuri Mkuu...
Lakini matukio yote haya Rais haongei, VP haongei, PM haongei, Home Affairs Minister haongei..
Badala yake anaongea Bashite..!!
Nani hao wanamchezea Rais..?? Bashite and his gang??
 
Back
Top Bottom