Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,793
Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais
1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu
Hili Kundi ni wale waliotarajiwa
1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako
2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika
3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie
4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!
Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni
Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa
Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!
Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu
Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema
acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!
na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)
Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)
Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?
Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!
Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu
watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga
Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??
Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani
ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!