TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha

Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

Hili Kundi ni wale waliotarajiwa

1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako

2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha vigogo walikuwemo serikalini kama mawaziri wakuu, mawaziri wa kawaida na kwa siku za karibuni kumekuwa na jitihada za kuwaunganisha wale walioshindwa! vikao vya kuwapatanisha Lowasa na Membe vinaendelea!-Membe na Nape mnajua fika

3. Waharibiwa deal zao za ufisadi, malipo hewa Mengi BOT yamezuiliwa, na sasa issue ya migodi imefufua na itaharibu nchi kuliko kundi la kwanza katika hili wale wa Lugumi akiwamo X IGP wajiangalie

4. Kundi la wabunge ambao ni wafaidika na mfumo wa kundi la tatu na kundi la kwanza na katika hili -spika ajiangalie!

Makundi haya yote yanafanya kazi kwa pamoja na ukaribu mkubwa, moja ya mtu wao ambaye angetumika vizuri kuiweka serikali ya JPM pabaya ni waziri aliyeondolewa siku za karibuni

Nguvu mlizoelekeza kwa Bashite na huu uzushi na kupoteza raia wenzetu kisha tuone serikali mbaya hazikubaliki! najua kabisa na nasimama kuwa sikubaliani na sera nyingi za uchumi wa Magufuli! nazikataa

Ila tuweke hoja mezani na tuache utoto wa kutengeneza movie, hakuna serikali inayopenda eti ionekane mbaya! haipo!

Roma alikamatwa anafanya nini? aliimba wimbo wowote mpya? alikuwa anarekodi wimbo mpya? kwa hiyo serikali ya JPM imkamate Roma na kisha imuachie?? kwa nyimbo zilizoimbwa kipindi cha JK? seriously???? mpuuzi tu mwenye stress za maisha anayetaka kujifariji kwa makosa ya JPM atakayekubaliana na upuuzi huu

Yaani with all these social media, track systems wabunge 11 sijui mtekwe?? hivi BASHE inachukua dakika ngapi wewe kuuawa?? nchi hii hata rais hana ulinzi wa kutisha wa kushindwa kuuawa, mabenki yetu hayana ulinzi wa kutisha kushindwa kuingiliwa!! Bashe mtu akitaka kukuua na kadhamiria unaweza kuuawa na wala hana muda wa kupoteza kukuteka!! acheni zile movie za kiswahili, sasa umelala umepanga....NILIDHANI UNA AKILI SWALA NYETI KAMA HILO SIO LA KUKURUPUKA KUONGEA, meseji uliyotumiwa ina authenticity gani? nani katuma? kama aliyetuma katoa siri so kuongea kwa raia tena bungeni umemsaidiaje mtoa siri?? maana ukibanwa utamsema

acheni kuona kelele, au support ya watu mitandaoni ni base nzuri ya kufanya au kuwehuka, mnapoteza credibilit za uongozi! Nape anajua hivi, japo huwa mnaonaga mna akili kwa sababu ni mawaziri au wabunge, wengi wenu ni vilaza, sisi watu wa kawaida we know system na unatakiwa ufanye nini wakati gani...nyie hamjui!!

na mwenzangu na mie Lema , kweli Ben saanane tunaamka kumtafuta leo baada ya Roma kutekwa???? KUWA HATUNA UPENDO NA BEN SAA NANE NA UPENDO WETU WA MSIMU TU....KUWA SIKU ZOTE HIZI HATUKUONA UMUHIMU WAKUMTAFUTA BEN ILA LEO...???? kuwa asingetekwa Roma basi Ben saa nane alikuwa kapotea?? oneni aibu jamani!! na bila aibu mnachukua statement za Makonda kama basis ( kama amekosea kibinadamu je?)

Lema una vijana wengi wa chadema, ila inatia uchungu siku zote hizi kapotea msaidizi wa mbowe mmekaa kimya, Kubenea kasemaaa...yuko kimya ila LEO NDIO MNAAMKA! yaani BEN SAA NANE HANA TOFAUTI N MCHANGA WA DHAHABU...Ben anaweza kuoza ila mchanga hauozi ule!! so hakuna hoja eti migodi inaingia hasara ( nimechomekea)

Vijana wa chadema mna nguvu ya kukipigania chadema wakati mkipotea hakuna atakayewajali? leo mnaweza kujiita mna akili nyie? Hata mama kichaa wa jalalani anayezalishwa na wahuni bado anatunza mtoto, ila akili hizi hazijafikiwa na mbowe na akina Lissu ambao kwa muda mrefu mmekaa kimya kuhusu Ben saa nane ila leo mnaamka? hivi hizi picha mnamchezea nani?

Inatosha CCM walivyowapumbaza watanzania wengi ambao imethibitika wengi hata wawe wamesoma akili zao ni ndogo ku analyze vitu, watanzania hawa ndio hawa wamejaa mitandaoni, ndio hawa wanaweza kuambiwa hiki na Gwajima leo na kesho wakageuzwa au ni wale wa kuwambiwa lowassa fisadi leo na kesho wakaambiwa alikuwa 'malaika' Inatosha kuchezea watanzania ambao babu na baba zao walipumbazwa na ukoloni, dini za kuletwa na elimu ya kutowawezesha kuwaza nje ya box...Inatosha hawa watanzani hawajielewi ndio hawa leo watamchukia Kikwete na kesho watamshangilia! hawa ndio watanzania mnao wachezea!!

Inahitaji kuwakomboa, kutoka mikono ya CCM, mikono ya elimu mbovu, inatosha jamani kuwachezea watanzania-ni kama CCM imewabaka ( invasion to their brain) watanzania tangu enzi hizo, nyie mnaoonekana wakombozi akina chadema, wachungaji na wabunge mnaendelea kuwabaka watanzania tena kwa nguvu zaidi.....ndio kuchezea akili za watanzania wasiojielewa ni sawa na kuwabaka tu....wengi wana IQ za mtoto wa miaka 10 wa kike...unawadanganya kwa pipi tu, kwa kuleta story za ajabu ajabu

watanzania wamekuwa mazombie na wengi kazi hawafanyi kutaka kuona nini kitatokea katika maswala ambayo wachache wenu mnayatunga

Bashe nimekudharau!! nchi haiongozwi hivyo, wala hero hawi hivyo...hata zile movie za kizungu( kama unazoangaliaga) Hero sio lazima ujulikane leo, hii Nape nae hajui.....unaweza ukabadili na kuzima mambo bila kujulikana na watu wakiwa wanaendelea na shughuli zao! unaweza ukategua bomu lililotegwa chooni uwanja wa taifa wakati mechi inaendelea na watazamaji wako 70, 000 uawanjani..Tukaja kugundua baadae kuwa uikuwa hero, nini kimewapata ??

Nitasimama kusema ukweli haijalishi unamuumiza nani kiasi gani

ila watanzania wengi hamjielewi! poleni endeleeni tu kubakwa kwa kuingiziwa kila taarifa kwenye brain zenu na kwa sababu mna chuki zenu basi wala hamdigest kabisa!! aibu!

Pole sana msukule wa lumumba.

Ni wewe uliyesema kuwa movie ile ya Daudi Bashite kuvamia Cloudstv ilikuwa bomba sana; alipokosea koromije ni kule kuonekana kwenye cctv tu.

Halafu leo unajifanya msema kweli na mzalendo. Kawadanganye mazuzu na mafala wenzio mitaa ya huko ushenzini.
 
Hata hii cheap thread imepata like 14. Please mwongozaji tuwekee na kitufe cha dislike ,kwa sasa hii thead ingekuwa na dislike 1000
 
Sijawahi kusoma utumbo kama ulioandika hapo juu mkuu.Tunajua wewe ni pro-magu lakini conclusion ulizoandika ni poor thinking na umefanya kwa mihemko.
 
Na wewe umekuja na assumptions zako hapa, as if una ushahidi wa unachokisema..
 
Mahirizi yameanza kuwabana mnasingizia watu uchawi ccm myamalize wenyewe hasira zenu msihamishie kwa watu wasiyokuwa na hatia
 
Tanzania mpya inakuja
 
So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Your thread comprises with "First Quality Nonsense!"

Hawa walitekwa na suspect no 1 ni aliesema atafanya juu chini wapatikane kabla ya jpili.

Uwe na haya na aibu..jaribu kujisitiri kidogo... upo mtupu kabisa..!!

Rubbish..!!

Rudia post yangu, mtekaji nchi hii ni serikali tu? vikundi vingine haviwezi kumteka na kujifanya ni serikali kutimiza lengo lao la kusambaza chuki?
 
Uzi kama huu unapata likes nyingi hvyo.!!!. Na ni Great Thinkers Forum....
???
Mashaka makubwa na akili zetu Watanzania...
 
umehangaika Sana mkuu.... makala hii iko hovyo haieleweki.

unatakiwa ujifunze Ku paraphrase
 
Mtoa hoja, hoja zako zimeishughulisha akili yangu kidogo hata kama nikitaka kuamini kuwa kuna watu wanataka kumdidimiza Rais basi ni katika matukio gani na yapi.

Kwa mfano tukio la uvamizi wa clouds media hivi hapo kweli kuna mtu alimtuma Bashite kwenda kuvamia pale ili amharibie JPM?

Swala la Nape kuoneshwa bastola mbele ya polisi hivi unaweza ukasema kuna watu walimtuma huyo jamaa ili amharibie JPM na kama ndivyo mbona hatua hazijachukuliwa?

Hivi kukamatwa kwa ney na polisi je na Rais kuagiza aachiwe ni nani hao wanao mharibia polisi au nani?

Ningeweza kukubaliana na wewe lakini as a reasonable person matukio hayo hapo juu ambayo yana concrete, relevant and admissible evidence kwamba yamefanywa na dola yananifanya ni decline kwenye hoja yako
 
yaan ukiwa chadema unakua kam nyumbu kazi kufuata upepo tu.
 
Mkuu imagine mateso ya Roma na wenzie kwa siku tatu tu wamerudi wakiwa hoi bin taaban. Sasa Bensaanane waliyemteka zaidi ya miezi sita sasa atakuwa katika hali gani!
kamuulize mwenyekiti wako anajua aliko we kibaraka kazi kupiga kelele tu
 
So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Your thread comprises with "First Quality Nonsense!"

Hawa walitekwa na suspect no 1 ni aliesema atafanya juu chini wapatikane kabla ya jpili.

Uwe na haya na aibu..jaribu kujisitiri kidogo... upo mtupu kabisa..!!

Rubbish..!!
Kwani Roma kayatoa maneno yake ktk Quran mpaka aseme kweli
 
Rudia post yangu, mtekaji nchi hii ni serikali tu? vikundi vingine haviwezi kumteka na kujifanya ni serikali kutimiza lengo lao la kusambaza chuki?
Never.. Never..

Wametekwa na serikali inahusika..
Maana kama ni Bashite basi ni serikali.

Na Roma amesema sehemu moja wapo waliyoenda wakatesewa ni kwenye nyumba ya mtu mkubwa serikalini..!!

Kitu gani tena hapo unahitaji kuamini bado??

Nipe mfano wa vikundi vya watekaji unavyosema vipo Tanzania.

Aisee hakuna akili mbaya kama za kutumika.
 
Back
Top Bottom