Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,888
- 10,371
wrong forum? PoleHii habari ingenihusu zaidi kama ingezungumzia daladala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wrong forum? PoleHii habari ingenihusu zaidi kama ingezungumzia daladala.
Taarifa inajieleza kwamba kuna mkataba ambao waliwekeana ili kuuziana share. Mmojawapo wa parties ktk mkataba akikiuka au kwenda kinyume na contract basi upande wapili unaruhusiwa kisheria kusitisha/kuvunja huo mkataba. Atakeamua kwamba hakuna alieenda kinyume na contract ni mahakama, na sio boss wa FastJet.
Imekula kwao watani wetu Kenya, sisi tutaendelea kuruka na FastJet katika anga yetu ya Tanzania
Hapa ni wivu, choyo, majungu na tamaa za Kenya ionekane kama ndo 'hub' ya shughuli zote za ndege maana FastJet inaoonesha kukubali kuifanya Tanzania ndiyo 'base' yake kubwa na makao yake Afrika mashariki kitu ambacho Kenya siku zote wanapiga vita Tanzania kufanikiwa katika kitu hii mpya ya kuwa makao makuu ya 'budget airline industry' katika ukanda huu wa Afrika Mashariki