Twiga Stars yaanza vizuri kuelekea Wafcon 2025 Morocco

Twiga Stars yaanza vizuri kuelekea Wafcon 2025 Morocco

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
21 June 2025
Dar es Salaam, Tanzania

TWIGA STARS YATWAA KOMBE LA MICHUANO YA CECAFA

FULL MATCH FINAL CECAFA 2025 KENYA VS TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=0D7FA4xY-K4
Hivyo michuano ya CECAFA yazidi kuiimarisha kuelekea michuano ya mataifa ya kiafrika ya mpira wa miguu WAFCON itakayoanza 5 July 2025 nchini Morocco
 
Historie / toka maktaba
30 May 2025

Mechi ya kirafiki ya kimataifa kuelekea WAFCON Morocco 2024

Twiga Stars Tanzanie - Dame Leopards DRC

30 May2025

🌟 LIVE : AMICAL INTERNATIONAL DAME - 🇹🇿TANZANIE VS 🇨🇩RDC 🌟


View: https://m.youtube.com/watch?v=n2eFmNX4beM
 
michuano ya mataifa ya kiafrika ya mpira wa miguu WAFCON itakyoanza July 2025 nchini Morocco

Timu mbili za juu kutoka kwa kila kundi, pamoja na timu mbili bora zilizoshika nafasi ya tatu, zitafuzu kwa robo fainali.

BINGWA WA WAFCON KUIBUKA NA TSHS. 1,650000,000
CAF imeongeza pesa za tuzo za mashindano ya mwaka huu ya WAFCON hadi $600,000 (Tshs.1.65 blioni) kwa washindi, $400,000 kwa washindi wa pili, na $350,000 kwa washindi wa tatu.

Hata timu zitakazomaliza katika nafasi za mwisho katika vikundi vyao zitapata pesa za ushiriki.


Timu 12 zinashindana katika WAFCON 2024 katika kutafuta utukufu wa bara na sehemu ya dimbwi la zawadi lililoimarishwa. Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Julai 5, 2025, na kukamilika Julai 26, 2025.

Haya hapa ni makundi ya mashindano hayo ya Finali za WAFCON 2024 :

Kundi A : Morocco, DR Congo, Senegal, Zambia

Kundi B : Nigeria, Tunisia, Algeria, Botswana

Kundi C : Afrika Kusini, Ghana, Mali, Tanzania
 
28 June 2025
Mabingwa wa CECAFA wanawake timu ya Tanzania almaarufu Twiga stars imecheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Morocco ili kujiweka sawa na michuano hiyo itakayoanza mwezi Julai nchini Morocco

INTERNATIONAL FRIENDLY MATCH MOROCCO VS TANZANIA

HIGHLIGHTS

MAROC 4 - 0 TANZANIE


View: https://m.youtube.com/watch?v=_Uyjy52MpT8
 
28 June 2025
Mabingwa wa CECAFA wanawake timu ya Tanzania almaarufu Twiga stars imecheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Morocco ili kujiweka sawa na michuano hiyo itakayoanza mwezi Julai nchini Morocco

INTERNATIONAL FRIENDLY MATCH MOROCCO VS TANZANIA

HIGHLIGHTS

MAROC 4 - 0 TANZANIE


View: https://m.youtube.com/watch?v=_Uyjy52MpT8


Twiga Stars ni nafasi yenu kuonekana na kutengeneza professional players wa kiTanzania watakaosajiliwa na timu kubwa duniani
 
Kundi A : Morocco, DR Congo, Senegal, Zambia

06 Julai 2025

WAFCON 2024 MOROCCO

Senegal 4 - 0 DR Congo Full-time


View: https://m.youtube.com/watch?v=JFP8xTr_YVc

la République Démocratique du Congo (RDC) dans WAFCON 2024 ⚽️🇨🇩 resume

1751821541707.jpeg
 
Back
Top Bottom