twiga stars

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Twiga Stars imegongwaMe

    Mechi imeisha bourkina fasso 2- Twiga Stars 1
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Burkina Faso 2-1 Twiga Stars | Kundi B | Uwanja wa Larbi Zaouli | 31.07.2026 | Saa 5 Usiku

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo itashuka dimbani kuwania kuongeza nafasi ya kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 itakapovaana na Burkina Faso katika mchezo wake wa pili wa Kundi B utakaopigwa saa 5:00 usiku. Mchezo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: South Africa 1-2 Tanzania( Twiga Stars) | Women's AFCON 2026 | 27 Julai, 2026 | Twiga Stars wanaondoka na alama 3

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo Julai 27, 2026, itashuka dimbani kuivaa Afrika Kusini katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Women's AFCON 2026). Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku Twiga Stars ikisaka matokeo mazuri dhidi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Twiga Stars yafanikiwa kupata ushiriki wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026

    28 October 2025 Addis Ababa Ethiopia 0 - 1 Tanzania Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia katika hatua ya michezo ya fainali kwa bara la Afrika baada kuwatoa Ethiopia (2-0) katika mkondo wa...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Oh Twiga Stars

    Twiga Stars jana tulipigwa 4-1,ni wazi kabisa kocha wetu Bakari Shimye,kwa sasa inatosha.Tumpe asante yake na tutafute makocha wenye ujuzi mkubwa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Twiga Stars yaanza vizuri kuelekea Wafcon 2025 Morocco

    21 June 2025 Dar es Salaam, Tanzania TWIGA STARS YATWAA KOMBE LA MICHUANO YA CECAFA FULL MATCH FINAL CECAFA 2025 KENYA VS TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=0D7FA4xY-K4 Hivyo michuano ya CECAFA yazidi kuiimarisha kuelekea michuano ya mataifa ya kiafrika ya mpira wa miguu WAFCON itakayoanza...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mrembo Victoria Maselle nyota wa Twiga Stars aliyevutia macho ya wengi baada ya kuripoti Kambini Morocco

    Kwa muda mrefu sasa, wachezaji wa soka wa kike hapa Tanzania wamekuwa wakikumbana na maneno ya kashfa kuhusu muonekano wao, ambapo baadhi ya watu hudai kuwa wanajiweka kwa mtindo wa kiume, hali inayoondoa uhalisia wao kama wanawake. Hii siyo tu kwamba inaathiri kisaikolojia bali pia inapuuzia...
Back
Top Bottom