Twiga ni yupi hapo?

Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,200
5,553
Hii ndio athari ya viongozi kufanya kazi ili wakimbilie kupost mitandaoni. Sasa hapo Twiga ni yupi na wanyama wengine ni wapi?? Anyway, mi nishamuona twiga. [HASHTAG]#TwigaWakilaUpepoZiwani[/HASHTAG] [HASHTAG]#TwigaNaWanyamaWengine[/HASHTAG] [HASHTAG]#UtaliiWapicha[/HASHTAG] [HASHTAG]#AlbadirInafanyaKazi[/HASHTAG]
ae8da08251491beace34df393aefa16b.jpg
 
Akil zetu ndio mwisho wa kufikiria
Wewe mwenye akili kubwa umewahi kufikiri nini cha maana katika taifa hili au hata nyumbani kwako! Acha hizo, wanaofikiri nembo yao ni hii hapo chini, wengine ni matumbo njaa tu!
Nobel-Peace-Prize-medal-001.jpg
 
Mengi san na asilimia kubwa yamefanikiwa
 
Huyu jamaa kwa maigizo mzee majuto anadondoshwa kwenye fani muda si mrefu.
 
Hii ndio athari ya viongozi kufanya kazi ili wakimbilie kupost mitandaoni. Sasa hapo Twiga ni yupi na wanyama wengine ni wapi?? Anyway, mi nishamuona twiga. [HASHTAG]#TwigaWakilaUpepoZiwani[/HASHTAG] [HASHTAG]#TwigaNaWanyamaWengine[/HASHTAG] [HASHTAG]#UtaliiWapicha[/HASHTAG] [HASHTAG]#AlbadirInafanyaKazi[/HASHTAG]
ae8da08251491beace34df393aefa16b.jpg
Twiga si ni huyo wa katikati.,
Au mie ndio sioni vizuri?
 
Back
Top Bottom