Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Kwa Nini pole pole anawatishia nyau wanaccm na Hasa Samia Suluhu hassani?
Je Kuna mambo ya kishirikina yaliwekwa IKULU na Samia na pole na Magufuli Sasa polepole anaenda kuyasema Ili ccm isambaratike ?
Je ccm ilifanyaje wakati wa Magufuli mpaka pole pole awe tishio?
Tukutane Leo jioni