SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Jamaa amepima amekutwa nao anataka na wengine wapate pressure kama yeye.
Ukisema majibu yako ndo na mi ntapima
Hivi wewe umepima au bado ?Kama Ungepima Usingesema Maneno Hayo.
Kupima nini? Nguo kwa fundi?
KWELI Naenda Kupima Ila Naogopa Sijui Nighairi
Hakuna kitu kizuri Kama kupima HIV! Yaani unapata nguvu ya KURINGA Ila Kama hujapima unaringa nini sasa