Twendeni tena tukazunguke ( Around the World)...

English
Crowds gather to watch a building after it collapsed, in Nairobi, Kenya, Tuesday, June 14, 2011.
A six-story building under construction in Kenya's capital collapsed on Tuesday.
Mh. Nelly Muluka said two people were killed and six wounded after a building on a main Nairobi highway collapsed.

Swahili
watu wamekusanyika kuangalia jengo baada ya kuanguka Nairobi Kenya
Jumanne 14/6/2011...Gorofa lenye urefu wa story sita ambalo lilikuwa
kwenye ujenzi lilianguka jumanne nchini Kenya. Mheshimiwa Nelly Muluka
alisema watu wawili walifariki na wengine sita kuumia baada ya jengo hilo lililoko kwenye barabara kuu kuanguka..

Hii ni ya picha ya kwanza
ile ya watu kwenye magorofa Kenya..

..Amazing,
you know Why AD??!!,
b`se of dis: Open Mind, Clean Hands and a Loving Heart.
Kiss your pillow.

..Amazing,

you know Why AD??!!,

b`se of dis: Open Mind, Clean Hands and a Loving Heart.

Kiss your pillow.

Mmmhhhhh
Asante mtoto mzuri :) & I do love my pillow lolz..

Nimeipenda hii inanikumbusha kijijini kwetu wakati uleeee vitanda vya kamba al - maarufu teremka tukaze..Kwa kuficha kunguni humooo balaa!!

Nimeipenda hii inanikumbusha kijijini kwetu wakati uleeee vitanda vya kamba al - maarufu teremka tukaze..Kwa kuficha kunguni humooo balaa!!

Hahaha Kunguni loohhhh
Umenikumbusha mbali sante ..

asante kwa picha. wadudu kunguni walishaisha kijijini kwetu! tena bila dawa, sijui waliishia wapi?

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom