Eti maendeleo!!!! Wafirika bwana, mnajazwa ujinga eti tutaokoa 400bilioni
Mwingine huyu hapa mpinzani tayarQapinzani ndio kina nani hao?? Unakimbizwa???
Hujaandika email bwana chimwiga in case namba ya simu haipatikani
Kweli Mungu anatupenda sana ku bahatika kutupa mwanae, kujitolea na ku tuongoza nakutuletea maendeleo mengi kwa mda mfupi wananchi wame neemeka kwa matunda yake umasikini imepungua, ajira ni zakumwaga, utawala wa sheria na demokurasia, viwanda kila mkoa vinazidi 100, Elimu ni bora zaidi, ufisadi umeisha nk tunakupenda sana Mungu tumekua taifa Teule kama wana IsraelLeo ni furaha isiyo kifani kwetu Wananchi wa Tanzania kwani uzinduzi wa Daraja la Juu katika eneo la Tazara unafanyika leo chini ya Mh.Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania.
Kwetu sisi Watanzania ni faraja kuona mradi huu mekamilika kwani utaokoa fedha nyingi (Takribani Bilion 400 kwa mwezi) na muda uliokua unapotea kutokana msongamano wa magari uliokuwepo eneo hilo.
Rais Magufuli ni mzalendo ,mkweli mwenye maono na mpanga mipango inayotekelezeka kwa manufaa ya watu wake.
Daraja hili ni kwa ajili ya watanzania wote wa Dini na vyama vyote, uwe CCM,Chadema Cuf na hata asiye na chama atapita bila shida yoyote.
Shime Watanzania tuungane kumpongeza Mkuu wetu wa nchi kwani anazidi kuiweka Tanzania pazuru katika ramani ya Dunia.
Nchi za wenzetu wanajiuliza Rais Magufuli amewezaje kuleta maendeleo haya ndani ya muda mfupi wanatamani wamuibe akawe Rais wa nchi zao.Nasema sisi tuna bahati ya kipekee na Rais kama huyu.
Tanzania ya Magufuli ni maendeleo kwanza ,tukutane TAZARA.
MUNGU ni mwema kila wakati .
Wasalaam,
Augustino Chiwinga
065943889.
NB
Tafadhali Mods msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine wowote.
nenda baba ukienda wewe inatoshaLeo ni furaha isiyo kifani kwetu Wananchi wa Tanzania kwani uzinduzi wa Daraja la Juu katika eneo la Tazara unafanyika leo chini ya Mh.Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania.
Kwetu sisi Watanzania ni faraja kuona mradi huu mekamilika kwani utaokoa fedha nyingi (Takribani Bilion 400 kwa mwezi) na muda uliokua unapotea kutokana msongamano wa magari uliokuwepo eneo hilo.
Rais Magufuli ni mzalendo ,mkweli mwenye maono na mpanga mipango inayotekelezeka kwa manufaa ya watu wake.
Daraja hili ni kwa ajili ya watanzania wote wa Dini na vyama vyote, uwe CCM,Chadema Cuf na hata asiye na chama atapita bila shida yoyote.
Shime Watanzania tuungane kumpongeza Mkuu wetu wa nchi kwani anazidi kuiweka Tanzania pazuru katika ramani ya Dunia.
Nchi za wenzetu wanajiuliza Rais Magufuli amewezaje kuleta maendeleo haya ndani ya muda mfupi wanatamani wamuibe akawe Rais wa nchi zao.Nasema sisi tuna bahati ya kipekee na Rais kama huyu.
Tanzania ya Magufuli ni maendeleo kwanza ,tukutane TAZARA.
MUNGU ni mwema kila wakati .
Wasalaam,
Augustino Chiwinga
065943889.
NB
Tafadhali Mods msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine wowote.
Weee kama MimiNiko hapa tuna mshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa yote walahi
Mkuu,tupo sehem mbaya sana.....ukiona makala nyingi sana zinakuja za kuipamba serikali "sikivu" ujue kuna something mahali very very wrong!
Hii nchi bwana eti bilioni 400 kwa mwezi.kivipi yani ina maana kwa mwaka 400B×12=4.8 trilioni hizi hesabu sijui hata alipiga nani kugundua hiyo hasara..?
Hayo ni yakoMwingine huyu hapa mpinzani tayar
Anataman hata lianguke
Mkuu sisi tunaotoka Buguruni na Temeke mbona tunakaa folen kama kawaida pale TAZARA? Au tatizo ni nini mkuuLeo ni furaha isiyo kifani kwetu Wananchi wa Tanzania kwani uzinduzi wa Daraja la Juu katika eneo la Tazara unafanyika leo chini ya Mh.Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania.
Kwetu sisi Watanzania ni faraja kuona mradi huu mekamilika kwani utaokoa fedha nyingi (Takribani Bilion 400 kwa mwezi) na muda uliokua unapotea kutokana msongamano wa magari uliokuwepo eneo hilo.
Rais Magufuli ni mzalendo ,mkweli mwenye maono na mpanga mipango inayotekelezeka kwa manufaa ya watu wake.
Daraja hili ni kwa ajili ya watanzania wote wa Dini na vyama vyote, uwe CCM,Chadema Cuf na hata asiye na chama atapita bila shida yoyote.
Shime Watanzania tuungane kumpongeza Mkuu wetu wa nchi kwani anazidi kuiweka Tanzania pazuru katika ramani ya Dunia.
Nchi za wenzetu wanajiuliza Rais Magufuli amewezaje kuleta maendeleo haya ndani ya muda mfupi wanatamani wamuibe akawe Rais wa nchi zao.Nasema sisi tuna bahati ya kipekee na Rais kama huyu.
Tanzania ya Magufuli ni maendeleo kwanza ,tukutane TAZARA.
MUNGU ni mwema kila wakati .
Wasalaam,
Augustino Chiwinga
065943889.
NB
Tafadhali Mods msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine wowote.
Na namba ya simu umeweka kabisa ili uteuliwe.Leo ni furaha isiyo kifani kwetu Wananchi wa Tanzania kwani uzinduzi wa Daraja la Juu katika eneo la Tazara unafanyika leo chini ya Mh.Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania.
Kwetu sisi Watanzania ni faraja kuona mradi huu mekamilika kwani utaokoa fedha nyingi (Takribani Bilion 400 kwa mwezi) na muda uliokua unapotea kutokana msongamano wa magari uliokuwepo eneo hilo.
Rais Magufuli ni mzalendo ,mkweli mwenye maono na mpanga mipango inayotekelezeka kwa manufaa ya watu wake.
Daraja hili ni kwa ajili ya watanzania wote wa Dini na vyama vyote, uwe CCM,Chadema Cuf na hata asiye na chama atapita bila shida yoyote.
Shime Watanzania tuungane kumpongeza Mkuu wetu wa nchi kwani anazidi kuiweka Tanzania pazuru katika ramani ya Dunia.
Nchi za wenzetu wanajiuliza Rais Magufuli amewezaje kuleta maendeleo haya ndani ya muda mfupi wanatamani wamuibe akawe Rais wa nchi zao.Nasema sisi tuna bahati ya kipekee na Rais kama huyu.
Tanzania ya Magufuli ni maendeleo kwanza ,tukutane TAZARA.
MUNGU ni mwema kila wakati .
Wasalaam,
Augustino Chiwinga
065943889.
NB
Tafadhali Mods msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine wowote.
Easy tu mtaambiwa CCM sio iliyoleta foleni.Mkuu sisi tunaotoka Buguruni na Temeke mbona tunakaa folen kama kawaida pale TAZARA? Au tatizo ni nini mkuu
Pia usisahau kuvaa sare ya chama. ShwainiiiiLeo ni furaha isiyo kifani kwetu Wananchi wa Tanzania kwani uzinduzi wa Daraja la Juu katika eneo la Tazara unafanyika leo chini ya Mh.Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania.