Twendeni TAZARA ni fahari yetu ni wakati wetu. Asante mbeba maono Rais Magufuli kwa kutekeleza ahadi zako kwa vitendo

Leo ni furaha isiyo kifani kwetu Wananchi wa Tanzania kwani uzinduzi wa Daraja la Juu katika eneo la Tazara unafanyika leo chini ya Mh.Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania.

Kwetu sisi Watanzania ni faraja kuona mradi huu mekamilika kwani utaokoa fedha nyingi (Takribani Bilion 400 kwa mwezi) na muda uliokua unapotea kutokana msongamano wa magari uliokuwepo eneo hilo.
Rais Magufuli ni mzalendo ,mkweli mwenye maono na mpanga mipango inayotekelezeka kwa manufaa ya watu wake.

Daraja hili ni kwa ajili ya watanzania wote wa Dini na vyama vyote, uwe CCM,Chadema Cuf na hata asiye na chama atapita bila shida yoyote.

Shime Watanzania tuungane kumpongeza Mkuu wetu wa nchi kwani anazidi kuiweka Tanzania pazuru katika ramani ya Dunia.

Nchi za wenzetu wanajiuliza Rais Magufuli amewezaje kuleta maendeleo haya ndani ya muda mfupi wanatamani wamuibe akawe Rais wa nchi zao.Nasema sisi tuna bahati ya kipekee na Rais kama huyu.
Tanzania ya Magufuli ni maendeleo kwanza ,tukutane TAZARA.

MUNGU ni mwema kila wakati .

Wasalaam,
Augustino Chiwinga
065943889.

NB
Tafadhali Mods msiunganishe uzi huu na Uzi mwingine wowote.
Ivi unajua kua mwezio yupo kazini pale, nenda kafanye kazi ujipatie ridhiki yako, uzinduzi acha yy aendelee na majukumu yake
 
Satire/Irony
Kweli Mungu anatupenda sana ku bahatika kutupa mwanae, kujitolea na ku tuongoza nakutuletea maendeleo mengi kwa mda mfupi wananchi wame neemeka kwa matunda yake umasikini imepungua, ajira ni zakumwaga, utawala wa sheria na demokurasia, viwanda kila mkoa vinazidi 100, Elimu ni bora zaidi, ufisadi umeisha nk tunakupenda sana Mungu tumekua taifa Teule kama wana Israel
 
Back
Top Bottom