Sio wahindi hao vietnam
Waliniita wakaniambia kuwa interview ya online itafanyika siku ya Jmosi venue itakuwa IFM du nilishindwa kwa kuwa nilikuwa nimebanwa na zaidi nilivosikia ni mtandao wa Wahindi du nilijitoa mapema maana mimi na wahindi sawa na maji na moto
Kuna mtu kanipa nyepesi nyepesi, ameniambia aliitwa kwa oral then kazini, hiyo salary sasa kwa mwezi, eti ni 300000 kwa mwezi... Ndukiiii.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kazi alipangiwa town au kwenye plant?
Hatari sana mkuu.. hivi una uzoef na haya ma interview ya written then unaitwa kupiga oral?
Yeah. Yupo na aliambiwa akaanze kazi kesho yake, ila laki 3 ikamkimbiza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mtu kanipa nyepesi nyepesi, ameniambia aliitwa kwa oral then kazini, hiyo salary sasa kwa mwezi, eti ni 300000 kwa mwezi... Ndukiiii.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ilikuwa kawaida tu wanachek unavyo jiamini ulivyo fit kwa tahaluma yako na mambo kama hayo
Ila jamaaa ikafika mambo ya pesa sasa wakantel nisem price yangu nkakumbuk some thread za jf nkawageuzia qn
Bt walicho nijibu
Eti kampuni bado changa sana
So we can offer you 350 nkasema hiyo mnanipa na mke wa vietnam ama? Me nkasema yangu wakananmbia we wil reconsider then watanijulisha
In generl ni ishu za kawaida tu