safi sana siku ya mabwege dunian inafanyika Tanzania mwaka huuTarehe hiyo ni fool's Day customers beware.kila abiria achunge mfuko wake.hiyo siku ni siku ya wajinga.ukiliwa usije piga yowe humu jamii forms
Mungu anakuonaOk ngoja nimshirikishe mchepuko wangu akikubari tutakuwa pamoja katika hiyo safari.
Nenda na wife mkuu.Ok ngoja nimshirikishe mchepuko wangu akikubari tutakuwa pamoja katika hiyo safari.
Utachagua ulale na Fisi au Simba..!!
Watu wengine mnakera Sana, swali gani Hilo....!!
Ndio, nitafute in box tuangalie ratiba zetuHaya baba umejipanga lakin?