Twende mbele zaidi

Complicator EM

Senior Member
Dec 20, 2011
155
39
Jamani tumekuwa wepesi wa kusaidiana pale mtu anapoleta suala lake humu, mm nimepost thread kama tatu humu leo nikieleza namna ambavyo maisha yamenikaba nashangaa leo kila mtu yuko kimya naombeni hata mwenya kitu cha M-pesa, tigo-pesa au Airtel money anidondoshee hata kifaru hapa, yaani t sijapiga, lunch ndo kama hivyo tena hata mwelekeo siuoni , Dinner ndo sijaanza hata kufikiria.
 
Back
Top Bottom