Twende kazi

hapo unatakiwa KUCHOVYA mboga na siyo KUKOMBA mboga!
 
wee mpiga picha acha kuchelewesha watoto kula
 
mi nimeona hiyo sahani kama ni sinia.......ila swali liko palepale...kwanini zimewekwa moja juu ya nyingine?

labda balance ya kubeba
labda chakula kisidondokee chini..maana kikidondoka kwenye sinia unachua na kuendelea kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…