Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Feb 27, 2010 #1 Biblia inasema tusiache kukusanyka kila iitwapo leo ukiwa kama mpendwa mtumishi wa bwana twende kanisani tukamwamudu mungu siku ya kesho nawatakia ibada njema
Biblia inasema tusiache kukusanyka kila iitwapo leo ukiwa kama mpendwa mtumishi wa bwana twende kanisani tukamwamudu mungu siku ya kesho nawatakia ibada njema
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Feb 28, 2010 #2 Asante nawe nakutakia ibada njema, usisahau kuwaombea wagonjwa, wasiojiweza na nchi zilizokumbwa na majanga!
Asante nawe nakutakia ibada njema, usisahau kuwaombea wagonjwa, wasiojiweza na nchi zilizokumbwa na majanga!
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,425 Reaction score 5,296 Feb 28, 2010 #3 Ubaguzi huo,mbona sisi wa jumamosi hukutukumbusha wala kututakia ibada njema?
SHUPAZA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2009 Posts 561 Reaction score 23 Feb 28, 2010 #4 Kumbe na wewe ni mtu wa dini hongera sana
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Feb 28, 2010 Thread starter #5 Malila said: Ubaguzi huo,mbona sisi wa jumamosi hukutukumbusha wala kututakia ibada njema? Click to expand... jamani samahannini si ubaguzi si mnajua mambo ya network mpaka usiku ;ibada inakuwa ishaisha tutakumbukana nexty week nawapenda na Mungu awabariki
Malila said: Ubaguzi huo,mbona sisi wa jumamosi hukutukumbusha wala kututakia ibada njema? Click to expand... jamani samahannini si ubaguzi si mnajua mambo ya network mpaka usiku ;ibada inakuwa ishaisha tutakumbukana nexty week nawapenda na Mungu awabariki