Halafu ni kama ticha ma denti
Akikataa ataisoma
Akikataa ataisoma
Huyo man mbona kama ndugu yetu Hamphrey Slow Slow wa tume ya katiba!
Naomba tusiwahusishe wasiohusika hapa Chatumkali tafadhali
Madhila ya watoto wa kike mashuleni na vyuoni! Vifua vyao vimebeba mengi ya simanzi mno
Acha mkuu ni Muumba pekee anayejua yanayotupata tuache hayo mkuu yanauma sana bora primary school binti hajui kitu, chuo na makazini bint hadi anajuta kuzaliwa ke, mkuu najua nitawakwaza wanisamehe yaani maofisini ni kuna wakware wanausumbufu acha, huko chuo ndio usiseme, unakuta binti yatima anasomeshwa na mfathili Lect anajua hilo anamtaka tu ati kwa sababu ni yatima akikataa kosa mhhhh.