Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,493
- 2,366
Nape anaandika tweet hii kipindi ambacho mabenki yamefungwa na mengine yako mbioni kufungwa kutokana na kufirisika kimtaji. Katika wakati huu wengi wanalia kwa kuwa hili, limekuwa ni pigo kwao.
Mama mmoja kwa uchungu nasema,
yeye aliwekeza pesa zake kwenye benki hiyo kwa sababu aliamini ni Benki ya wananchi na ni sehemu salama kuweka pesa zake na hivyo taarifa ya kufungiwa ameipokea kwa masikitiko makubwa.
“Nimeweka pesa nyingi, ada za watoto zote nilikuwa nimeweka huku, hata Jumatatu sina ada ya kuwapeleka wanangu shule, nina watoto wa chuo na wa shule za English medium, sina hata senti tano na ndani nia shilingi Elfu ishirini tu.” – Elizabeth Munish
WAKATI HUO HUO NAPE NAYE ANASEMA,
Kwa mtazamo wangu hata kama Nape hakulenga hili inapelekea sisi kuhisi kalenga hili