Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,047
- 134,349
Mwakilishi wa Twaweza Aidan Ayakuze alikuwa ITV Habari akiongelea matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi.Amesema kadhaa kwa ufupi ikiwa pamoja na uwepo wa watanzania wasiojua taasisi inayosimamia uchaguzi.Pia 46% wanataka kusikiliza sera kabla ya kuchagua...Ila jina la mgombea anayeongoza hakutajwa.Sina uhakika kama dodoso halikuwa na swali hilo au lah