Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
Huu utafiti wenu wa 64% ya watanzania wameridhia tozo hapa kweli mmetuweza
Hili Jambo halihitaji elimu ya chuo kikuu kujua mmeamua kuendana na tune ya sasa ya serikali
Si kweli wananch wa Tanzania tumeridhia hiz tozo Bali hatukubaliani kabisa na tozo
Bw. EYAKUZE vipi passport yako ndiyo umeamua kuitetea kwa mtindo huu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app