TWAWEZA: Kiingereza bado tatizo, 52% ya darasa la 7 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2

Sauti za Wananchi

Senior Member
Sep 2, 2014
113
138
Leo Taasisi Twaweza wamezindua ripoti ya Tathmini ya 6 ya matokeo ya kujifunza nchini ya [HASHTAG]#Uwezo[/HASHTAG] huko Dodoma. Tathmini hiyo imebainisha matokeo ya kujifunza pamoja na mazingira ya kujifunzia nchini Tanzania kutokana na utafiti ya mwaka 2015.

WhatsApp Image 2017-04-10 at 14.54.14.jpeg

Katika moja ya matokeo ni kuhusu uwezo wa kusoma kiingereza katika Shule za Msingi. Uwezo huu umepimwa kwa darasa la 3 na la 7 kwa kutumia mtaala wa darasa la 2 kwa wanafunzi wote.

13% (Mmoja kati ya Kumi) tu ya wanafunzi wa darasa la 3 waliweza kusoma hadithi ya kiingereza ya darasa la 2. Kama tu hiyo haitoshi 52% ya Darasa la 7 walishindwa kusoma hadithi ya kiingereza ya Darasa la 2.

Screenshot from 2017-04-10 12-46-30.png

Je Matokeo haya yanaashiria nini? Je ni ubovu wa mitaala ya kiingereza? Je ni ugumu wa lugha hii? Je walimu wanachukuliaje hali hii kwa wanafunzi wao?
 
Tafiti hizi huwa zInandaliwaga na akina bana na huyu aliekuwa katibu mkuu et. al.
Sasa kama yale wanayoyaongea hayana consistence vipi haya wanayoyaandika ukizingatia hata wao njaa zinawauma????
 
Asilimia 52 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2? huu ni uongo mkuu, shule nyingi kijijini kwetu wanafunzi wa la saba waliokuwa hawajui kusoma walikuwa hawazidi 5 kati ya wanafunzi 50-60
Halafu mbona wanafaulu mitihani ya la saba kwa rate hiyo ya 50% au mwanafunzi anayejua kusoma tayari keshafaulu?
 
Mimi binafsi sifurahishwi na sisi kukipa kiingereza kipaumbele. Lakini HATUNA JINSI!!! Ndo tushakuwa 3rd World Country inatubidi kukijua kiingereza ili kitusaidie hata tu kwenye maisha ya kawaida. Utasema kiingereza mimi cha nini lakini hata vifaa vya nyumbani vinakuja toka nje ya nchi, utaajiri mkalimani wa kukusomea 'user manual'?
 
Ni kweli mkuu, hatuwezi kukikwepa maana kimeshapewa kipaombele maeneo muhimu..mfano;vyuoni, maofisini..
 
Asilimia 52 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2? huu ni uongo mkuu, shule nyingi kijijini kwetu wanafunzi wa la saba waliokuwa hawajui kusoma walikuwa hawazidi 5 kati ya wanafunzi 50-60
Halafu mbona wanafaulu mitihani ya la saba kwa rate hiyo ya 50% au mwanafunzi anayejua kusoma tayari keshafaulu?

kwani hata jamaa siajui au ?
 
Absolutely right, we lack competent teachers not only in primary schools but also in secondary schools.
Learning/ teaching environment is unfavourable in schools, and the family / society doesn't encourage pupils to learn / speak foreign languages... Generally, we lack priority in education system on which should be the language of instruction and communication.
 
Mtukufu hawezi kuzungumza sentensi kumi za kiingereza.
Hakuna mahali amefanya hivyo,seuze wanafunzi wa shule ya msingi
Hili swali ni rahisi tu, lakini watanzania hasa viongozi wetu wanapenda kuzungusha vitu na vikao kutafuta pesa. Kumbuka elimu ya kiswahili ktk shu
Mimi binafsi sifurahishwi na sisi kukipa kiingereza kipaumbele. Lakini HATUNA JINSI!!! Ndo tushakuwa 3rd World Country inatubidi kukijua kiingereza ili kitusaidie hata tu kwenye maisha ya kawaida. Utasema kiingereza mimi cha nini lakini hata vifaa vya nyumbani vinakuja toka nje ya nchi, utaajiri mkalimani wa kukusomea 'user manual'?
Kwa kweli swala hili ni la muhimu na inabidi labda tulidi hapo mwanzo kabla ya mwaka 1968 wakati shule za msingi zikifundisha lugha ya kingereza kwa kufundishia. Kwa sababu sshv ndo hivyo mtoto akimaliza hata form 4 au 6. kujieleza matatizo, na hata mwanafunzi kutoka chuo kikuu anajikanyaga tu. kwa hivyo tuludi. Alafu lingine tuwache hii form 6. tuangalie mifumo ya nchi nyingine ambazo wanatumia miaka 8 shule ya msingi na 4 secondali mchezo kwisha ( 12 years ) mtoto ananza shule miaka 6 grade 1. Miaka 4 ananza vidudu.
 
The dialogue of the deafs hii ndo sentensi pekee Ya kuelezea huu utafiti kati Ya mzaz walimu na GoT kama taasisi Ya kusimamia elimu nani hasa hatekelezi is part ?
 
halafu hao ndo wakakutane na kiingereza sekondari ambacho hutumika kufundisha masomo yote kasoro kiswahili.halafu watu wanajifanya hawajui sababu ya matokeo mabaya kidato cha nne.wenye pesa zao wanazitumia vizuri hizi english medium wenzangu na mimi tukomae tu na elimu bure.
 
When you speak English in Tanzania, they say "anajifanya msomi na kujitapa" tunavuna tunachopanda .. Na mna encourage global integration ..Tufanye maamuzi kati ya English or A Swahili.
 
Mimi binafsi sifurahishwi na sisi kukipa kiingereza kipaumbele. Lakini HATUNA JINSI!!! Ndo tushakuwa 3rd World Country inatubidi kukijua kiingereza ili kitusaidie hata tu kwenye maisha ya kawaida. Utasema kiingereza mimi cha nini lakini hata vifaa vya nyumbani vinakuja toka nje ya nchi, utaajiri mkalimani wa kukusomea 'user manual'?
No option to run from English language, haohao politicians wanatuchochea "Use swahili proudly" lakini juz bungeni mtoto wa aliekuwa waziri wa elim 12 years back mwanae English yake pale Bungeni anapigiwa makofi bila kujua kasomea wapi.. Don't trust politicians ever,, kwenye phonebook zao hawana namba za walim wa gvt school bali private na vyuo vya nje Ku compete nafasi za watoto wao.
 
kwa kweli mfumo wote wa elimu unahitaji kubadilika,

tuanze na nursery schools za serikali,

zinazofundisha kingereza,zianzishwe,

tuje primary,huku kunatakiwa pia kingereza kitumike,

unamshangaa la saba hajui kingereza angeanzia kusoma kingereza kuanzia nursery na shule yote ya msingi afundishwe kwa kingereza unadhania angeshindwa hapo la saba kutema yai? :D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom