Twanga pepeta watia aibu Dodoma, wapata watu 12

Twanga pepeta watia aibu Dodoma, wapata watu 12

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,675
Jana usiku ilikuwa siku ya huzuni kwa mashabiki wa Twanga pepeta na wa dansi kiujumla. Inajulikana kwamba mziki wa dansi unapitia kwenye hali ngumu ushachukuliwa poa sana na media hata na serikali yenyewe.

Mfano halisi ni wakati wa kampeni chama chenye mahela (ccm)hakikuijali hata bendi yake yake ya TOT iliyotuleteaga magoma makali kama ACHA WAISOME NAMBA ambayo ipo relevant hadi leo hata tamsha la juzi la urithi serengeti hapo uwanja wa shamba la bibi lilijaa bongo fleva tu no dansi bendi.

Sasa jana huko Dodoma katika ukumbi wa royal village unaochukua watu 750 Twanga pepeta sugu kisiima cha burudani waliingiza sh 60,000 baada ya watu 12 tu kujitokeza kushuhudia burudani hiyo
What a sad day, inasikitisha sana.
twanga.jpg
 
Aibu kivipi?

Si wamekosa Tu wateja?

Labda aibu Kwa Dodoma inayojiita jiji..
Unaona ni sawa kweli?leo sijui kesho wasafi wana pre party dodoma kiingilio 20,000 patajaa ,mjengoni band ya arusha huwa wanapajaza hapo Royal kwa band inayotunza status wangevunja show tu watu warudushiwe kiingilio wajifanye hata vyombo vimezengua
 
Jana usiku ilikuwa siku ya huzuni kwa mashabiki wa twanga pepeta na wa dansi kiujumla.Inajulikana kwamba mziki wa dansi unapitia kwenye hali ngumu ushachukuliwa poa sana na media hata na serikali yenyewe
Mfano halisi ni wakati wa kampeni chama chenye mahela (ccm)hakikuijali hata bendi yake yake ya TOT iliyotuleteaga magoma makali kama ACHA WAISOME NAMBA ambayo ipo relevant hadi leo hata tamsha la juzi la urithi serengeti hapo uwanja wa shamba la bibi lilijaa bongo fleva tu no dansi bendi
Sasa jana huko dodoma katika ukumbi wa royal village unaochukua watu 750 twanga pepeta sugu ksiima cha burudani waliingiza sh 60,000 baada ya watu 12 tu kujitokeza kushuhudia burudani hiyo
What a sad day,inasikitisha sana
View attachment 1662945
Kwani Mkuu hakukuwa na promota?
Hawakuandaa tiketi watu wakate mapema ili kujua mwelekeo?
Basi maandalizi yalikua mabovu.
Pia muelewe msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka,Watu wako Dar es salaam kuinjoi.
Huko mmebakia Wagogo na wasukuma tu
 
Ungewasikitikia royal zaidi

Maana ilipata wateja wachache sana
 
Ungewasikitikia royal zaidi

Maana ilipata wateja wachache sana
Status ya twanga imeharibika nime confirm na watu wangu wanasema hakukuw ana promo ya kutosha sidhani katika maisha yao twanga washawahi kupata watu 12
 
Kwani Mkuu hakukuwa na promota?
Hawakuandaa tiketi watu wakate mapema ili kujua mwelekeo?
Basi maandalizi yalikua mabovu.
Pia muelewe msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka,Watu wako Dar es salaam kuinjoi.
Huko mmebakia Wagogo na wasukuma tu
Sio kweli. Watu wameondoka dar 60% watu waishio dar wameenda mikoani kula sikukuu
 
Mamaa Asha Baraka The Iron Lady biashara ya Twanga imekwisha bongo. Miaka 20 kwenye game si mchezo. Wapi wazee wa Mango garden dah! Kweli Twanga ilikuwa kisima cha Burudani.
 
Back
Top Bottom