Twanga pepeta watia aibu Dodoma, wapata watu 12

Ally choki mzee wa farasi mrudi na Asha baraka haya matusi ni yenu,Hii siyo twanga pepeta iliyotingisha miaka hiyo.Huenda busara zenu zikausaidia uongozi mpya hata kama mmeamua kustaafu.
 
Hapana kukatisha shoo sio sawa.
Hauwatendei haki hao mashabiki 12.
Twanga walifanya Jambo la maana kuwatumbuiza hao watu
Unaona ni sawa kweli?leo sijui kesho wasafi wana pre party dodoma kiingilio 20,000 patajaa ,mjengoni band ya arusha huwa wanapajaza hapo Royal kwa band inayotunza status wangevunja show tu watu warudushiwe kiingilio wajifanye hata vyombo vimezengua
 
Huu upepo utakuja kumpitia msanii anayejidai nyota wa sasa

Mr nice kadata naskia analiwa pesa kwenye pool table na wahuni hawamuungii hata jero mpaka mshkija kaamua ku switch now anaimba gospel lakini bado
 
Huu upepo utakuja kumpitia msanii anayejidai nyota wa sasa

Mr nice kadata naskia analiwa pesa kwenye pool table na wahuni hawamuungii hata jero mpaka mshkija kaamua ku switch now anaimba gospel lakini bado
yuko kenya anaendelea na mziki hata week hii mkesha wa new year anapiga show ingia instagram yake,kenya bado ana mashabiki nafkiri kuna label inamtunza kule
 
Tatizo hapo ni promotion ilifeli ninaamini wangepiga pr ya kiwango cha kawaida kabisa huo ukumbi usingekosa watu jero hapo twanga hawajafeli amefeli promota
 
Binafsi hata hizo nyimbo zao sizisikilizi tena siku hizi,wanachoimba hakijulikani Twanga ilikuwa miaka hiyo bwana kipindi wapo kina marehemu Abuu Semhando almaaruf Baba Diana,kina Amigolas na MCd kwenye tumba.

Hiyo comb ukichanganya na Ally Chili na yule dada Luiza Mbutu ilikuwa burdaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msemo unasema hata maji yawe ya motto vipi lazima yata urudia ubaridi wake.Hii ni kwa wasanii wote wajipange,wawekeze kwani hamna mwenye hati miliki ya huu mziki,so ukipata chances jenga vitega uchumi vingi mziki ukikukataa kuna vitega uchumi vinakubeba.
 
Back
Top Bottom