Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
Twanga Pepeta nakwenda safarii...
(Msafiri Diouf)
Ewe Mungu wangu, unipe uwezo
Safari yangu, nifike salama
Nifike salama, nikamuone Nelly
Kusema kweli Nelly nakupenda
Niko tayari kubadili hata dini
Ooh nipe uwezo, wa kumshawishi Nelly
Napenda awe wangu
Nifunge nae ndoa
Sitaweza kuishi, bila yeye Nelly
Nampenda ooh!
(Jesca Charles)
Nakuaga Mama mi nakwenda safari Sweden
Ujue mama mimi nakwenda kwake mpenzi Nelly
Baby wangu eeh
Nikifika kule Stockholm kwake mpenzi Nelly
Nitafurahi saanakwa sababu nampenda sana
Baby wangu eeh
Ya Neli ooh..
(Msafiri Diouf)
Ewe Mungu wangu, unipe uwezo
Safari yangu, nifike salama
Nifike salama, nikamuone Nelly
Kusema kweli Nelly nakupenda
Niko tayari kubadili hata dini
Ooh nipe uwezo, wa kumshawishi Nelly
Napenda awe wangu
Nifunge nae ndoa
Sitaweza kuishi, bila yeye Nelly
Nampenda ooh!
(Jesca Charles)
Nakuaga Mama mi nakwenda safari Sweden
Ujue mama mimi nakwenda kwake mpenzi Nelly
Baby wangu eeh
Nikifika kule Stockholm kwake mpenzi Nelly
Nitafurahi saanakwa sababu nampenda sana
Baby wangu eeh
Ya Neli ooh..
Last edited by a moderator: